Jukwaa pendwa la wakubwa limeenda wapi???


Njia ya kupata access ni kuwa pm moderators likirudi jaribu kufanya hivyo tena na tena utapata access tu.
 
Hahahaha! Nilijua Mimi tu ndo silioni. Kumbe limeondolewa kabisa, sasa kwann hawakutoa taarifa kwa sisi wadau!

Hii magufuli style imeingia hadi jf.ni Shida.
 
Khaaaaa sijui ni wapi nitapotezea mawazo duuu....
Maana kule ilikuwa hata kama una stress unarudi mzimaaaa

Yani kule kulikuwa ni stress free.
 
Huko kwenye jukwaa la wakubwa kuna nini wajameni?
Likirudi na mie nitaomba access maana naona nitakuwa nimepitwa sana.
haaaa dda angu unastuka ghahawa ishaishaaa!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…