Jukwaa lipi hujawahi ingia kabisa?

Lile la wa kubwa sijui lipo wap?pamoja na kuwa member wa muda mrefu kidogo but huwa silioni
 
Mods unganisheni uzi ,hii mada ilikuwepo kitambo sana ilianzishwa na jerrysonkiria kama sikosei



Cc Jamiiforums

Cc Cookie

Cc mod 1
 
Mods unganisheni uzi ,hii mada ilikuwepo kitambo sana ilianzishwa na jerrysonkiria kama sikosei



Cc Jamiiforums

Cc Cookie

Cc mod 1
Sasa si hii ipo badala ya unayosema,kuna tatizi gani ikiwa huru?
 
kiufupia naingia majukwaa manne tu
MMU
Hoja na Habari Mchanganyiko
Chit Chat (kapuku'z)
Sports

ukinikuta ktk jukwaa lingine basi ujue nipo Brunei siku hiyo
 
Back
Top Bottom