Ni lip ilo yan kila siku
Yaani ingekua huko kutembelewa kunakrieti mimba basi Chitichati pangezaa uzazi usio na mpango!
Mwaka mimba!
Mwaka mtoto!

jukwaa lipi huwa hutembelei sana?Jukwaa la siasa
jukwaa lipi huwa hutembelei sana?
Majukwaa ya kenya
nayakimbia shauri ya kiingilishi.
Mzima weye mtumishi wa Bwana?
Majukwaa ya kenya
nayakimbia shauri ya kiingilishi.
Mzima weye mtumishi wa Bwana?
mi mzima nimekumiss siku hizi hutaki kuhudhuria kwaya ya kanisa
"Weye mtumishi wa Bwana?"
Swali zuri kisenzi!
Kwa swali hilo basi nimejiamua nikuletee zawadi za Maembe doodoh , Maembe ng'ong'o , na yare ya Chumbageni Tanga.
kukosa ibada za jumapili ndo unakosea,tuma sadaka hata kwa m-pesaHata mimi nimekumiss sana mtumishi,
Kweli mtumishi,
foleni ya bongo imenifanya
nishindwe kabisa kuendelea na uimbaji, loooh,
naona hata tamasha la reformation nitalikosa.
Ha ha haaa
ulete yale yenye ugwadu ugwadu
........ halafu wewe shauri zako,
leo ni mara ya tatu nakuambia........
Ni lip ilo yan kila siku