Serious, duuu huyo baba mm namtoa kafalaBaba mwenyew asiwe kama huyuView attachment 958584
Kiaje mzeiya.Hili jukwaa watu walipururuka wotee mzee
Baba yangu kila siku anaamka asubuhi anaenda kwenye miangaiko yake, anahakikisha tu mim kidume chake nimekula na nimejaza choo.Uyo babako anaekupenda uyu uyu nnao mjua Mimi au kuna mwingine[emoji33][emoji33][emoji33]
Sent using Jamii Forums mobile app