Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,026
Usijali mkuu ngoja nikafungue Uzi wa wanaokaa kwa shemeji nitakuita soonTuna comment wapi, sisi ambao tunakaa kwa shemeji zetu...!!??![]()
![]()
Usijali mkuu ngoja nikafungue Uzi wa wanaokaa kwa shemeji nitakuita soonTuna comment wapi, sisi ambao tunakaa kwa shemeji zetu...!!??![]()
![]()
Hahahahahahhahaha me napenda tu kujiita hivo
Halafu mbona umesema n aibu kijana kuonekana anategemea wazaz mkuu? Wewe huoni aibu?
Rafiki nilitaka nikutag nikashindwa maana sijui kutag ...ila nilitegemea comment yako hapa hahahahahahahahhUngekua ni watoto wa mama ningetia nanga hapa.. My dad is bitter when am close to him nikiwa mbali ndo anakua mshikaji..
Mwacheni mama aitwe mama kwakweli..
Mtawa ndiye anaomba hela kwa baba mkuu? Halafu me ngoja nikushauri unaweza kupanga hapo hapo kwenu ukawa unalipa kodiDuuu yani ninaona aibu tupu
Lini nakaa kwenye kibanda changu?
But naona dalili mm nitakuwa mtawa kwetu
Mikoba ya ukoo yote ninayo na nahis nimeitoa kwa baba angu, so siwez kwenda popote
When tagging someone u start with @ then name without leaving a space...Rafiki nilitaka nikutag nikashindwa maana sijui kutag ...ila nilitegemea comment yako hapa hahahahahahahahh
Mm nikiomba hitaji lolote kwa mama hawez acha kunipa, but baba pekee huwa anaweza kuzuiya nisipewe.Ungekua ni watoto wa mama ningetia nanga hapa.. My dad is bitter when am close to him nikiwa mbali ndo anakua mshikaji..
Mwacheni mama aitwe mama kwakweli..
Nilikumiss zaiidi rafiki ila sijui kutag...ngoja nijaribu hahhahhahahahah halafu kuna Uzi nilishindwa kukutag Hivi hiviWhen tagging someone u start with @ then name without leaving a space...
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Rafiki mwenzio nilikumiss eti
Hahaaa baba nilikua nikimwomba kitu nakula matusi kwanza hafu mwenyewe tu atanipa.. Yes japo dingi bandidu ila kanidekesha upande flani hasa kuninunulia vitu. Pc, sim na nguo hafu helaMm nikiomba hitaji lolote kwa mama hawez acha kunipa, but baba pekee huwa anaweza kuzuiya nisipewe.
So baba inakua ndio kila kitu
Wewe mwenyewe utakuwa unamkubali vizuri tuSema nini li dingi linanikubali kinoma sana kimoyo moyo ila halisemi tu..
Hakijahribika kitu as long as tumekutana tena.. hapaNilikumiss zaiidi rafiki ila sijui kutag...ngoja nijaribu hahhahhahahahah halafu kuna Uzi nilishindwa kukutag Hivi hivi
Mtawa ndiye anaomba hela kwa baba mkuu? Halafu me ngoja nikushauri unaweza kupanga hapo hapo kwenu ukawa unalipa kodi
Nikiwa mbali nae namkubali ila tukiwa pamoja namuona kisirani.. Dingi bandidu wwWewe mwenyewe utakuwa unamkubali vizuri tu
Ni vizuri halafu kumbe wewe n Sawa na mzee wa ukoo ee....rafiki nitaanza kukusalimia sasa hahahahahahahahNina maono pia
Nimepangiwa kukaa kwa baba, nina mengi nayaongoza kwa ukoo wetu na kuweka mambo sawa, lakni kwa sasa bado sina kitu,
Ajila hakuna
Elimu ya biashara baba hana,
Najipanga kumpa shule baba.
Ndipo nijikwamue
Baba siku zote siyo mtu mlaini laini halafu hatak tu mazoea ndiyo maana akiwa karibu na wewe anakuwa mkaliiNikiwa mbali nae namkubali ila tukiwa pamoja namuona kisirani.. Dingi bandidu ww
Ni vizuri halafu kumbe wewe n Sawa na mzee wa ukoo ee....rafiki nitaanza kukusalimia sasa hahahahahahahah
Ila kujikwamua n taratibu taratibu tu wala usijal
Sawa rafiki ila vitu vingine inabidi niwe najifunza mapemaHakijahribika kitu as long as tumekutana tena.. hapa
Mlain kwa mtoto wa kike, na sio wakiume