Mkuu kinachoniudhi kuhusu BB ni kuwa ukitaka ku enjoy internet na appl zake inabidi ujiunge na vifurushi vyake ambavyo ni bei ghali kama kuliko hata bundle zingine za pc.guys,naomba nifahamishwe kuhusu internet access via blackberyy, yaani i cant access internet kabisaa,so how do i get connected to the internet?
then ikiwa tayari, hii kitu inayoitwa BBM,inakuwaje? how unajiunga, malipo yake yako vipi??
Kama hutumii BB services huna haja ya kumiliki Blackberry!Mkuu kinachoniudhi kuhusu BB ni kuwa ukitaka ku enjoy internet na appl zake inabidi ujiunge na vifurushi vyake ambavyo ni bei ghali kama kuliko hata bundle zingine za pc.
kulipia elf7 kwa week au elf30 kwa mwezi kwaajili ya matumizi ya internet kwa simu tu naona kama ni anasa, bado ulipie maongezi na huku una pc
Mimi nadhani BB kwa matumizi ya kawaida sio nzuri sana labda kwa maswala ya kikazi zaidi, ni mtazamo tu
Ever wondered why your BB is moving slow? Every action on your BB is logged, which in time will slow your bb down...At least once a week, hold ALT key and press LGLG (the letters) while on your home screen. You will see the logs. Then click the Blackberry menu button and select "clear log" this keeps ur phone moving 100% faster...!NOW THIS IS A WORTHY BLACKBERRY BROADCAST..
Mkuu kinachoniudhi kuhusu BB ni kuwa ukitaka ku enjoy internet na appl zake inabidi ujiunge na vifurushi vyake ambavyo ni bei ghali kama kuliko hata bundle zingine za pc.
kulipia elf7 kwa week au elf30 kwa mwezi kwaajili ya matumizi ya internet kwa simu tu naona kama ni anasa, bado ulipie maongezi na huku una pc
Mimi nadhani BB kwa matumizi ya kawaida sio nzuri sana labda kwa maswala ya kikazi zaidi, ni mtazamo tu
Kuna service special kwa blackberry ambazo unalipia kwa wiki au mwezi(e.g tigo 7000/week,20000/month) au waweza kudownload browser kama opera mini na ukatumia kwa credits ulizonazo ktk simu
kaa uko uko njedah siku ya pili now server ya blackberry ipo down!!
Nipeni alternative ya kupata internet kwenye cm yangu plzzzz
nimekumiss sana bebii!kaa uko uko nje
umenimis au umemis viazi vyako cdm?nimekumiss sana bebii!
Nakosa means ya kuwasiliana na wewe! Hapa imebidi nigongee pc ya mtu
Tusichakachue hii thread plzz..umenimis au umemis viazi vyako cdm?
Tusichakachue hii thread plzz..
Hii thread ni of great value...nitrakuPM
Sijaelewa hapa Sabry!sometimes una akili eeh? Kweli BB tangu juzi hazifanyi kazi ipasavyo na juzi huduma ya facebuku ilikuwa haipatikani nackia dunia nzima ecxept USA. Labda kuna kitu walikuwa wanatengerekebishaneza!
Mkuu umechakachua hii sredi na Nokia yako, hii ni sredi ya watumiaji wa BB tu.Mi natumia Nokia C 6-00 . Nakatwa airtime yangu ninapokuwa nabrowse. Screen ina bars kama 7 au 6.Kila bar nimeweka website (sports na news)ambayo iko online.Facebook na email niko logged in 24/7.Vyote viko kwn screen muda wote. Ila nahisi nikitumia vifurushi inaweza kuwa nafuu zaidi.Tatizo sijui namna ya kujiunga na vifurushi kama ninavyofanya kwenye modem.Naomba ushauri.