Jukwaa la wakubwa liko wapi?

Jukwaa la wakubwa liko wapi?

Hilo jukwaa halipo...baada ya kufanya uchunguzi wangu wa kina kabisa nimethibitisha hilo jukwaa halipo,ni dhana ya kuhamasisha wanajukwaa tu.kama kuna mwenye ushahisi a screen shot hilo jukwaa...
 
ushimen kwenye kila post yako nikiiona picha yako nacheka halafu wambie wasisumbuke kuna kiingilio cha 15000 watume kwenye namba hii 676543 m pesa

mchokozi
 
Back
Top Bottom