‪Jukwaa la Wahariri(TEF) laikemea CHADEMA kwa kuwafukuza Waandishi wa TBC ktk Mkutano wa Tundu Lissu

Chadema walifanya jambo la kipumbavu sana kwa kuwatimua waandishi wa TBC.

Nimewadharau sana chadema kwa hili. Hovyo kabisa.
Chadema walifanya jambo la kipumbavu sana kwa kuwatimua waandishi wa TBC.

Nimewadharau sana chadema kwa hili. Hovyo kabisa.
WEWE HATA UKIWADHARAU NA UHAKIKA TBCCM INADHARAULIKA MARA 9999999999 HATA MWENYEWE UNAIDHARAU.BY THE WAY WAJE KUFANYA WAKATI HAWATARUSHA?
 
Hee jukwaa linataka kusemaje? Kama ya Bashite kuweka mgomo wa kutoripoti taarifa za chama
 
Hoja ni walishawahi kuzuia mwandishi wa wa chombo chochote asitekeleze wajibu wake kama chadema walivyofanya?
Tbc ni chombo cha habari, hivyo hicho unachosema kwao siyo rahisi kutokea. Lakini pia ikiwa mtu anachukua habari zako halafu hatoi, ana sababu ipi ya kupewa habari? Pengine hana nia njema na wewe.
 
kwa aina hii ya siasa Chadema wanaonesha rangi zao halisi za udikteta.
 
Tena wasiludie tena kujipeleka kwenye mikutano ya chadema,ni wabaguzi sana hao TBCUVCCM iwe mwisho
 
kuna siku raia mmoja aliweka bandiko tata humu kuhusu waandishi wa habari mashushushu ambao huenda kwenye press conference na vifaa vya kuharibu video devices kama cameras. Haikupita dakika mods walilifuta lile bandiko. Mwenye screenshot atukumbushe tafadhali.
 
Mimi tangu mtoto napenda vyama vinavyopigania haki au taasisi zinazotekeleza haki kwa kipindi hiki niko pamoja na cuf maalimu, Chadema, na muungano wa ukawa, ila kwa kitendo cha kuwatimua Tbc hapo tumeteleza tuombe radhi na tuwe wepesi kujisahihisha tunapodai haki upande wetu bas na hio haki tusiwanyime wengine ,pia nimeangalia hio clip ya lissu alipokua anafanya press,kuna watu walikua wanaropoka sana mpaka mh waitara akawa anawazuia kuna watu walikua wanamkashifu mh zitto nikaona mh waitara anajitahidi kuwakataza, sasa naomba uongozi uwe unaita watu makini kama kuna Press inafanyika tusije tukaonekana wote wahuni, naichukia ccm toka moyoni lkn ukiangalia Press za mh polepole pale lumumba hua kuna usikivu mkubwa hutakuta wanaomsikiliza wanapiga vijembe vya kijinga au kuropoka, naomba ndg makene uwe unawapa warning kwanza makamanda wasikilize na kushangilia bas lkn sio kuchomekea maneno ya kejeli, Mimi binafsi kwa kua naiunga mkono chadema nichukue fursa hii kuomba RADHI waandishi wa TBC kwa kitendo kilichotokea tunawahaidi hakitajirudia tena naomba sana msamaha kwa wote mliokwazika
 
Nahisi kuna kitu coz hata kipindi niko chuo ukitokea mgomo pale revolution square TBC walikuwa hawaruhusiwi na wanafunzi labda waje na polisi. Wakija clouds unawaona wanafunzi wanawapa ushirikiano. Cku moja mwandishi wa tbc alinyanganywa vifaa vyake na majamaa ambao sikuwatambua. ilinishangaza sana na hadi leo sijapata jibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watimuliwe tu hao si ccm, hatuna tv ya taifa tuache unafiki! hii ni tv ya ccm jamani!
Hivi kwanza bado ipo? inarusha matangazo wapi? sijawai kuiona zaidi ya miaka 3. sawa na gazeti la uhuru nna mzalendo yamepotea kama hii tv.
 
TBC wamezoea kuingia kila mahali sasa nao wamezinguliwa,
Ila sio mbaya sana kwakua watu wengi hawatazami hiyo channel
 
Hao TBC walienda kujaza ukumbi na kuleta joto humo ndani...Hata kama wangeruhusiwa hiyo habari wasingerusha huko TBC...ni sawa tuu walivyowatimua...

TBC na kurusha habari za Chadema wapi na wapu..? Hilo jukwaa liache unafiki
tanzania tanzania nakupenda
 
Jukwaa la wahariri limepokea kwa masikitiko taarifa za kufukuzwa kwa waandishi wa habari wa kituo cha runinga cha TBC wakati wakitekeleza majukumu yao.

Wamesema kwamba vitendo vya kuwabugudhi waandishi wa habari haviwezi kupewa nafasi katika jamii na Uongozi wa CHADEMA uchukue hatua stahiki kuhusu suala hili.
View attachment 552759
Chadema should practice what they preach
 
TEF mmekosa kazi, kwani ni lazima kukaribisha waandishi wa habari wa chombo cha chama kuhudhuria mikutano ya chama kingine?
 
Back
Top Bottom