Jukwaa la mmu lipo hatarini

Jukwaa la mmu lipo hatarini

Haya majukwaa ni kama vyama vya upinzani ubongo. Vinang'ara kwa msimu. Msimu huu ni wa Chit Chat.
sijui kama chit chat itakuja kuboa watu
 
Excellent aamua kuja na tetesi kuwa jukwaa la MMU liko hatarini kutoweka....dah nilifikiri niko kwenye thread ya JF Udaku haya mazoea noma sana aisee
hahhaaaaaaaaaaaaaaaa kweli we ni noma kha!
 
Jukwaa la MMU inaweza kukosa mvuto kwa ajili ya jukwaa la Chit Chat,hii ni kutokana na members wa MMU kuhamia huku halafu
isitoshe huku mada zote zinajadiliwa.

Tena ile thread ya udaku ndio imeteka watu kwelikweli...
 
Tena ile thread ya udaku ndio imeteka watu kwelikweli...
Jana nilichelewa kulala kwa ajili ya hiyo thread mana mtu akikuzushia na wewe unazusha
 
Kwa sie wazee wa kitufe cha "new posts" hatuoni umuhimu wa jukwaa,hasa kinachobamba ni topic husika,iwe MMU,CHIT CHAT,Siasa,Elimu,etc!kama ina mashiko ndio hapohapo!
 
Kwa sie wazee wa kitufe cha "new posts" hatuoni umuhimu wa jukwaa,hasa kinachobamba ni topic husika,iwe MMU,CHIT CHAT,Siasa,Elimu,etc!kama ina mashiko ndio hapohapo!
kumbe kuna kitufe kinachoonyesha new post
 
Back
Top Bottom