Kwaaaherini,
Watotoo weeetu.
Kwaherini,
Watotooo wetu.
Kloro punguza bange, Fynest acha kumendea wadada waliopo kwenye hii thread, Excellent nenda kalale, Kongosho achi na watu wengine wapost, we sijui Mbamba acha kuota mchana, huwezi pata mkare kama wewe sio mkare.
Msiponiona kesho mna bahati.
Nasikia usingizi!!!
demu ndo mwenye pete,kwani we demu?
Nafuu yako jamani Lizzy Mi nimeamshwa na hii tu! Nina la kusema kuhusu MMU lakini ngoja nilale kidogo tu. Nikirudi naangusha kibomu kali.
Kongosho mi kukugongea LIKE mpaka uvae bikini {kiding}
Kongosho hujalala tu? Au umeibuka toka usingizini?hicho kitambaa kichwani nlivyopendeza
na nanii anapenda niwe ivo
Kongosho hujalala tu? Au umeibuka toka usingizini?
Nimethubutu, nimeweza, na ninasonga mbele.
Najiandaa kwenda uwanja wa taifa
Jukwaa la MMU inaweza kukosa mvuto kwa ajili ya jukwaa la Chit Chat,hii ni kutokana na members wa MMU kuhamia huku halafu
isitoshe huku mada zote zinajadiliwa.
Nasikia usingizi!!!
Sio Mwanakijiji tu,hata The Rocky
Hehehehe, mama wa kwanza mi jana nimelala mapema kama kuku.Kama alichelewa jua ana kaPM mate kengine humu.Na wewe Lizzy mpaka mida hiyo ulikuwa unachat na hubby wangu ,,,la ndo maana siku hizi unyumba wa mafungu:A S-coffee: