Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
weka gundi haraka kuzuia macho yasifumbe kama huna gundi weka tuthipick kuzuia mfuniko wa jicho kujifunga, weka kwa stail tunatowekea migomba sapoti isianguke
Alafu. . . . . . ?
weka gundi haraka kuzuia macho yasifumbe kama huna gundi weka tuthipick kuzuia mfuniko wa jicho kujifunga, weka kwa stail tunatowekea migomba sapoti isianguke
Ila kuna ka ukweli fulani aisee naona hata wale maswahiba wangu wamemisha kambi huku...hadi Mwanakijiji..lolHaupo kwenye ndoto The Finest,baada ya miezi miwili jukwaa la MMU haitanoga tena
Ole wako usinzie nakulaza nje ya nyumba juu ya paaAlafu. . . . . . ?
Nasikia usingizi!!!
Ole wako usinzie nakulaza nje ya nyumba juu ya paa
Loweka miguu yako ndani ya maji aiseee
Hahaha..lol! Ile thread kiboko!Excellent aamua kuja na tetesi kuwa jukwaa la MMU liko hatarini kutoweka....dah nilifikiri niko kwenye thread ya JF Udaku haya mazoea noma sana aisee
teh teh mbona mi niko saa moja na unusu mbele ila navumilia mpaka saa kumi
Acha tu Rejao mwaka huu namaliza mwaka hapa JF kwa staili ya aina yake ...kwa staili ya UDAKU...Hahaha..lol! Ile thread kiboko!
Twende kwenye thread ya JF UDAKU uone kama utasinzia matokeo yake unaweza kujikuta unakesha kwenye thread hiyo hadi saa 11 alfajiri.Ole wangu, ole wako.
Dah ,nothing can keep me up aiseee. Hapa nasubiria Grimm iishe niache kukaza macho.Twende kwenye thread ya JF UDAKU uone kama utasinzia matokeo yake unaweza kujikuta unakesha kwenye thread hiyo hadi saa 11 alfajiri.
Maskini Afrodenzi
Jukwaa la MMU inaweza kukosa mvuto kwa ajili ya jukwaa la Chit Chat,hii ni kutokana na members wa MMU kuhamia huku halafu
isitoshe huku mada zote zinajadiliwa.
Halfu TF kule una tuhuma kibao..nashangaa umeziacha na ukakimbilia huku.Acha tu Rejao mwaka huu namaliza mwaka hapa JF kwa staili ya aina yake ...kwa staili ya UDAKU...