Jukwaa la mmu lipo hatarini

Jukwaa la mmu lipo hatarini

halafu itabamba ile mbaya,mana mapenzi humu humu,siasa humu humu,tetesi humu humu,dah jukwaa nzuri hii
Hamna ban..mamod tunawapiga tu michanga ya macho. Kweli chit chat ina utamu wake!
 
Halfu TF kule una tuhuma kibao..nashangaa umeziacha na ukakimbilia huku.
Rejao kule sirudi banaa...hauchelewi kugeuka sanamu au skeleton ukiingia kwenye ile thread muulize sijui nini jana kasahau kuoga, amekesha amekaa kwenye ile thread hadi asubuhi matokeo yake kakurupuka kutoka usingizini saa sita za mchana...:lol:
 
Ha ha ha, mneli mbaya sana

nagonga like
afu wewe hunigongei likes, na mimi ntaacha
Hahaha, nisamehe bana mi niko via mobile nod maana LIKE zangu hazifiki.
Jigongee nne kwa niaba yangu.
 
Back
Top Bottom