Jukwaa la Dini: Unveiled Comedy

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Hii si utani wandugu.
Lile jukwaa ukiingia kwa mtazamo huru bila kuchotwa na hisi za dini yako, mbona raha tupu!
Binafsi huwa sicoment chochote mule, huwa nasoma michango ya watu kisha nacheka na kucheka na kucheka na kucheka.
Try this with non-emotional mind afu utaniambia...
 
Back
Top Bottom