Jukwaa la chit chat matatani

Nivea

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
7,460
Reaction score
4,771
Sababu kuu ni kutoonekana kwa wana jamvi muda mrefu
mbwembwe tu nimewamis sana aisee wana chit chat
nawasalimu sana nawapenda sana siku mbili hizi nimebanwa sana hahahaahahaha


ukitaka kunzodoa nzodoe tu nshawafikishia ujumbe wangu


wasaalimu mtoto mzuri Nivea
 
Last edited by a moderator:
hivi mumeo anaitwa ni nani Nivea
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaaa
mimi sina nimeachwa majuzi kati
ndo najipanga tena upya.
ha haaa, pole sana best.......
jipange vizuri sasa usije ukapata tena ambaye anakupenda nusu nusu, maana hakawii kukuacha akiona mwingine
 
hilo nalo neno,
ila kwa sasa nakuja kivingine kabisa,
sitaki tena ambao hawana ndoa
kwa kuwa kuna baadhi ya vitu hawavijui kabisa.

ha haaa, pole sana best.......
jipange vizuri sasa usije ukapata tena ambaye anakupenda nusu nusu, maana hakawii kukuacha akiona mwingine
 
hilo nalo neno,
ila kwa sasa nakuja kivingine kabisa,
sitaki tena ambao hawana ndoa
kwa kuwa kuna baadhi ya vitu hawavijui kabisa.
du! una mpango wa kukwapua mume wa mtu? au kujibanza uwe muke wa 2? au utaka kuanzisha sacoss kama ya Madame B?
 
Last edited by a moderator:
nitonye habari yako rafiki yangu
mambo yanakwendaje lakini.

Mamndenyi usijali nipo serengeti boy hapa nitakupa mahaba motomoto acha na vibabu!!!!nakuhakikishia utapata hati ya nyumba,cadi ya gari(full tank 24/7),show zote za ngwasuma,mapacha watatu,jotohasira etc utahudhuria,watoto wote uliozaa na hivyo vibabu nitawapeleka nje kusoma!!!!!!
wako katika Mapenzi ya dhati Innobwoy!!!
 
Last edited by a moderator:
serengeti boy sitaki kabisa
nani anataka shida
 
wewe unahisi anakuuliza yupi?
sijui kweli nitonye !maana kha swali gumu humu sina mume niliacha mwenyewe .ss wa nyumbani hamjui ndio nikauliza kaswali
 
waseme tu wote
usije sema mama mkwe kakosa maadili.
hahahahaah Mamndenyi humu sina niliacha mie sikutaka msongamano ,tulirundikwa kama mafungu ya nyanya eh nikajikalia pembeni ila naendele na interview
 
Last edited by a moderator:
tena hii ndiyo akili
itabidi nami nifanye kama wewe
umenifundisha.
hahahahaah Mamndenyi humu sina niliacha mie sikutaka msongamano ,tulirundikwa kama mafungu ya nyanya eh nikajikalia pembeni ila naendele na interview
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…