Mwana parokia
JF-Expert Member
- Sep 27, 2023
- 1,185
- 2,059
Yes ,tulifanya hivyo hatuna macheko Sasa hivi .Hata wewe jiandaeYule dada kweli mlimpiga na kumjeruhi
Yes ,tulifanya hivyo hatuna macheko Sasa hivi .Hata wewe jiandaeYule dada kweli mlimpiga na kumjeruhi
Chawa kaziiniCHADEMA, Bado sana kupewa nchi hii, wataivuruga vurugu, waibe watuachie majanga, twendeni hivi hivi na CCM yetu imara,tusihadaike kwa kauli tamu zenye kumtoa nyoka pangoni, mfumo uliopo chini ya CCM ni mfumo safi.
Kakwambia nani "wataivuruga vurugu"..Unaogopa mabadiliko..!?CHADEMA, Bado sana kupewa nchi hii, wataivuruga vurugu, waibe watuachie majanga, twendeni hivi hivi na CCM yetu imara,tusihadaike kwa kauli tamu zenye kumtoa nyoka pangoni, mfumo uliopo chini ya CCM ni mfumo safi.
Wewe hapo na familia Ile ya Kutoa 10% ya mapato kupeleka visiwani na kupokea gawio la mkopo fasta fasta kutoka trillion 47 mpka trillion 97 ndani ya Miaka mitatu na kuzuia haki za watumishi na kuzuia pesa ya bajeti kwenye idara zote eti kisa kulea mapunga ya Zanzibar.Sisi hatulei mapunga.Wanaharakati ni kina nani hao?
Hilo halitatokea tena nakuambia.Jukumu letu sisi kama wanaharakati ni kukomesha siasa za kitapeli. Siasa za kitapeli ni kikundi cha watu wachache kujipatia madaraka kwa mtutu wa bunduki halafu wanadanganya kuwa wamechaguliwa.
#NoReformsNoElection .