Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,081
- 28,186
Uchumi wa Kenya ubora wake haukuletwa na - - - taka taka za upinzani,--- uimara wa uchumi wa Kenya ulijengwa na KANU, Toka enzi hizo, kinachofanyika sasa ni ubomoaji tu na ulafi wa vyama vya upinzani,Unaogopa ccm ikitoka madarakani utakosa pa kula. Hata wapambe wa KANU hapo Kenya walikuwa na ngonjera hizihizi. Leo KANU haipo, na Kenya ina uchumi mzuri kuliko sisi tunaoburuzwa na ccm.
N. B, mkuu hata short record ya uchumi wa Kenya huna, ajabu sana, haya mambo huwa hayajaribiwi kama kubadili shati, #take_care!,
-Marufuku kuwapa upinzani nchi kote Walipoongoza, - ufisadi ulizidi, wizi ulitamalaki, ubinafsi ulizidi, walikosa adabu, uzalendo na utu.
-Can't and never taste a poison of such.
-->>Angalia rekodi mwote upinzani walipochukua uone kama kuna endeleo waliloleta!