tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,146
kwel Dr.
Ujumbe wako kwenye hii thread ni nini haswa?
hapo unampa jukumu lingine, jukumu lake ni kuandika thread hili unalomuuliza ni jambo lingine kabisa...
aaah aaah jamaa ananishinikiza kufanya jukumu ambalo si langu!!
halafu ukizingatia mtu mwenyewe unastress kibao, huna hela, huna kazi mpaka demu wako amekutosa halafu anakuja mtu anakupa majukumu mengine, ha ha ha ha ref to your avatar.
Dk. Lwaitama ni mtata!
kuna siku Dr. Lwaitama alikuwa na lecture ya CL pale Nkruma hall, umeme ukakatika, mic ikawa haifanyi kazi, yeye akawa anaendelea kupiga pindi
Wanafunzi: Hatusikiiiii!!!!!
Lwaitama: "jukumu langu sio
kuwafanya msikie nina jukumu moja
tuu,nalo ni kudeliver lecture kuhusu nyie kutonisikia mnataka kunishikiza
kujiingiza katika majukumu yasiyo yangu"
akaendelea kukata lecture.......
Lmao.
Mmenikumbusha mwalimu wa hisabati nikiwa form 1. Just outside our class kuna bomba ambalo halikaukiwi maji. Kukawa hamna maji jikoni, tukatolewa class kwenda kuchota. Tumepangana foleni, akaja akaingia class. Akafundisha madawati. Hairuhusiwi kuingia bila mwalimu kukuitikia, so watu wote tukarudi tukawa mlangoni. Akafundisha akamaliza kipindi akaondoka. Kesho yake kafika anauliza nani ana swali kuhusu kipindi cha jana?
Le proffesorri alikuwa ana vibweka. Tulimshtaki kwa mwalimu mkuu, in the end naskia aliishia mirembe.
Ujumbe wako kwenye hii thread ni nini haswa?