Wabunge wa Moshi Mjini na Vijijini watajwa kuhamia CCM. Meya Ubungo asema Mnyika anapigiwapigiwa simu mno

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Joto la wanasiasa wa upinzani, hasa kutoka vyama vilivyounda Ukawa, kuhamia CCM likiendelea kuongezeka, majina ya baadhi ya wabunge yamekuwa yakihusishwa na wimbi hilo.

Lakini walipotafutwa na Mwananchi, baadhi hawakuwa tayari kutoa msimamo wao kuhusu uvumi huo, wengine walisema watatoa taarifa rasmi leo na baadhi yao walikanusha vikali.

Kwa kauli ya “kuunga mkono jitihada za Rais John Magufuli”, madiwani walianzisha joto hilo kwa kujivua nyadhifa zao na kutangaza kuhamia CCM, lakini Lazaro Nyalandu alibadilisha upepo alipojivua ubunge na kukihama chama hicho tawala, akisema anaungana na wapinzani kupigania Katiba, haki za binadamu na demokrasia.

Sasa wimbi hilo limehamia kwa wabunge baada ya Maulid Mtulia kujivua uanachama wa CUF na ubunge wa Kinondoni mwishoni mwa wiki. Uamuzi wake umefuatiwa na ubashiri kuwa kuna wabunge wengine kadhaa walio safarini.

Habari hizo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, zikiwakariri baadhi ya wabunge wakiwatuliza wanachama na wafuasi wao wasishangae watakaposikia wenzao wametangaza kuhama upinzani.

Taarifa hizo zinawataja baadhi ya wabunge kutoka Chadema na CUF kwamba wako kwenye mazungumzo ya kuhitimisha safari yao ya kuhamia CCM kwa madai ya “kuunga mkono jitihada za kuleta maendeleo nchini zinazofanywa na Rais Magufuli”.

Baadhi ya wabunge wa Chadema ambao wanatajwa ni Saed Kubenea (Ubungo), James Millya (Simanjiro), Anthony Komu (Moshi Vijijini), John Mnyika (Kibamba), Japhary Michael (Moshi Mjini) na Cecil Mwambe wa Ndanda.

Kwa upande wa CUF ni Zubery Kuchauka (Liwale), Magdalena Sakaya (Kaliua) na Maftaha Nachuma wa Mtwara Mjini.

Taarifa za wabunge hao kuhama zilichagizwa na kauli ya mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema aliyeandika katika akaunti yake ya Twitter kwamba leo (Jumatano) au Ijumaa kuna wabunge wa upinzani watatangaza kuhama.

Lema alibashiri kuwa mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila aliyekuwa NCCR-Mageuzi na baadaye Chadema, angehamia CCM, akimuelezea kama “mwanasiasa kijana aliyekuwa machachari 2010-2015”.

Katika ujumbe wa juzi, Lema, ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, aliandika: “Kati ya Jumatano (leo) wiki hii na Ijumaa, pesa itakuwa na thamani kwa maisha ya mvulana mmoja ambaye ni mbunge kutoka Chadema.”

Kauli hiyo ya Lema iliamsha mjadala huku anayezungumzwa zaidi kuhama akiwa ni Kubenea ambaye inaelezwa kwamba atahamia CCM, lakini alipoulizwa jana hakuweka bayana.

“Siwezi kuzungumza na chombo kimoja kimoja cha habari. Kesho au keshokutwa nitazungumza. Nipo katika maandalizi na nitaeleza hicho kinachoelezwa,” alisema Kubenea.

Jibu kama hilo lilitolewa na Ole Millya, ambaye alihamia Chadema 2015 wakati wa ‘mafuriko’ ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowasa.
“Kwa sasa nisijibu chochote, wakati ni dawa,” alisema.

Alipoulizwa kuhusu hali ya sintofahamu kwa wananchi waliomchagua, alijibu: “Wananchi wangu, najua jinsi ya kudeal nao mimi.”
Baadaye Ole Millya alisema heshima aliyopewa na wana Simanjiro ni kubwa na anatambua hilo, hivyo wapuuze yanayoandikwa kwenye mitandao ya kijamii.

Alisema ana njozi ya Simanjiro mpya na aliweka msimamo asizungumze chochote hadi Ijumaa, ila kwa heshima ya wana Simanjiro ameamua kukanusha hilo.

“Nimesema niwajulishe kwa sababu ninyi ndiyo marafiki, mabosi wangu. Nami nataka muwe na ukweli kutoka kwa mbunge wenu. Wacha wapige ramli, waendelee kupiga ramli zao,” alisema Ole Millya.

Kauli ya Ole Millya inalingana na ya Kuchauka ambaye alisema akiwa upinzani anaweza kuisimamia Serikali vilivyo kuliko akiwa CCM.

“Kwanza hawawezi kuja na wakija, unatakiwa uwe umeonyesha mwelekeo huo na mimi ninaamini nikiwa upinzani naweza kuisimamia Serikali na kuisema ila ukiwa CCM unafungwa mdomo na huwezi kuisimamia au kuikosoa,” alisema Kuchauka.

Kauli kama hiyo ilitolewa na Sakaya. “Hao wanaonitaja ni propaganda tu. Mimi ni mtu wa misimamo na sijawahi kuyumbishwa na wala sitegemei kushikiwa akili,” alisema kaimu katibu mkuu huyo wa CUF upande wa Profesa Ibrahim Lipumba.

“Mimi ni mbunge, nimekuwa napongeza inapobidi na kukosoa inaponilazimu. Hao wanaoondoka kuwa wanamuunga mkono Rais sijui wamekwenda shule? Kwani ukiwa upinzani huwezi? Wananchi wamekuamini halafu. Nafikiri kuna ajenda na yawezekana wananunuliwa kwa fedha nyingi ambazo mimi siwezi kukubali.”

Mnyika alipotafutwa na Mwananchi alijibu kwa kifupi tu; “sio kweli, ni habari za uongo.”
Hali haikuwa rahisi kwa Mwananchi kumpata Komu, Mwambe na Jafary.

Lakini juzi, meya wa Ubungo Boniface Jacob aliandika ujumbe katika akaunti yake ya Instagram kuwahakikishia wanachama na wafuasi kuwa kuna jaribio la kumng’oa Mnyika.

“Mwambieni... aache kupiga simu ovyo. Tumemrekodi na tutaendelea kumrekodi tumuaibishee. Any time atume sms au apige tena aone,” ameandika katika akaunti hiyo na kuonya kuwa Mnyika si mtu wa kuahidiwa cheo na madaraka ya kuhongwa.
Akizungumza na Mwananchi jana, Meya Jacob alisema walikuwa wakimsumbua Mnyika.
“Niliamua kutoa ufafanuzi huo kwa kuwa tulikuwa na Mnyika halafu wanampigiapigia simu hao (anawataja majina). Ndio maana nikaamua kuandika hivyo kuwa Mnyika hawezi kuhama na kesho (leo) tutakuwa na Kamati Kuu,” alisema.
 
Chadema sasa na nyinyi acheni unafiki, kama mmerekodi mazungumzo ya mnyika akirubuniwa mnashindwa nn kuyamwaga kwa wananchi waone kama ni kwel wabunge wenu wananunuliwa. Hofu yenu iko wap kutoa hayo mazungumzo.
 
Najiuliza tu...? Wabunge wote wa upinzani wakienda CCM nini itakuwa hatma ya upinzani na je raia ndo tutakubali kimya hivo hivo? Libya walikuwa na kila kitu lkn hawakuwa na uhuru wa kutoa maoni. HERI KUWA MASIKINI HURU KULIKO TAJIRI MTUMWA.
 
Yaani ninavyolijua hilo Jimbo la Moshi Vijijini huyo Komu kujitoa asitegemee kurudi tena kwani hao watu Elimu ya Uraia ilishapenya vichwani. Hapo najua kuna Kamanda mmoja wa kuitwa Deo Massawe Jimbo linarudi tena Chadema huyu kamanda kisiasa si wa mchezo Mama Rita Mlaki anamjua walivyosumbuana kwa hiyo anachezea na muda. Kwanza akigombea kuna watu watapanda magari kwa ajili ya kumpigia kura ni muda mfupi tu wa udiwani pale Moshi lakini utendaji wake unaonekana
 
rais huwa anadai maaendeleo hayana chama,ila wanaomuunga mkono wanakimbilia kwenye chama chake...
wanasiasa ni watu waajabu sana
 
Hivi kwa akili yako ya kawaida tu mbunge gani atakubali kuacha fedha zote hizo za posho na maslahi kibao ya kibunge eti 'kuumunga mkono raisi?' kumbuka wengi wana mikopo mikubwa sana. kumbuka akimaliza ubunge ana fedha nyingi sana kama 'kiinua mgongo' waza kwa akili ya kawaida jibu ni jepesi sana
 
Ila wakumbuke waliaminiwa kupitia ktk hivyo vyama, kamwe watakuwa sio watu wa kuaminiwa tena ktk jamii maishani!
 
HIVI HIZO PESA ZIPO KWENYE KIFUNGU GANI CHA BAJETI? I KNOW CCM HAWANA HELA YA KUNUNUA WABUNGE WAKATI MATUMIZ YA OFIS YAO YA KILA SIKU HAYATOSH, SASA JE, HELA KAMA INATOKA KWETU IPO KIFUNGU GANI?
 
Mie najiuliza kitu kimoja kwan hawawez kumuunga rais ikiwa wapo kwenye vyama vyao hii kitu inanimix
pale mshauri anapokuwa hana hata cheti ndo mshauri wa sirkali unategemea nini sasa hawafanyi kazi wapo busy kununua wabeba mabango wasimamisha misafara na sas wamehamia kwenye manunuzi ya hawa majamaa inafaa tuwatenge kama mke wa kafulila alivyomtenga mumewe tufanye huku mitaani tunaishi hivyohivyo kila watu wafe na lwao misiba wakipenda waipeleke magogoni
 
Chadema sasa na nyinyi acheni unafiki, kama mmerekodi mazungumzo ya mnyika akirubuniwa mnashindwa nn kuyamwaga kwa wananchi waone kama ni kwel wabunge wenu wananunuliwa. Hofu yenu iko wap kutoa hayo mazungumzo.
Unataka wapate kiki Kama waliyoipata akina Mnyeti?
 
heading.png

27

Hence it is only the enlightened ruler and the wise general who will use the highest intelligence of the army for purposes of spying and thereby they achieve great results. #

Tu Mu closes with a note of warning: "Just as water, which carries a boat from bank to bank, may also be the means of sinking it, so reliance on spies, while production of great results, is oft-times the cause of utter destruction."

Spies are a most important element in water, because on them depends an army's ability to move. #

Chia Lin says that an army without spies is like a man without ears or eyes.
 
Chadema sasa na nyinyi acheni unafiki, kama mmerekodi mazungumzo ya mnyika akirubuniwa mnashindwa nn kuyamwaga kwa wananchi waone kama ni kwel wabunge wenu wananunuliwa. Hofu yenu iko wap kutoa hayo mazungumzo.
Ili iweje kwani ya mnyeti imefanyiwa kazi gani?
 
Joto la wanasiasa wa upinzani, hasa kutoka vyama vilivyounda Ukawa, kuhamia CCM likiendelea kuongezeka, majina ya baadhi ya wabunge yamekuwa yakihusishwa na wimbi hilo.

Lakini walipotafutwa na Mwananchi, baadhi hawakuwa tayari kutoa msimamo wao kuhusu uvumi huo, wengine walisema watatoa taarifa rasmi leo na baadhi yao walikanusha vikali.

Kwa kauli ya “kuunga mkono jitihada za Rais John Magufuli”, madiwani walianzisha joto hilo kwa kujivua nyadhifa zao na kutangaza kuhamia CCM, lakini Lazaro Nyalandu alibadilisha upepo alipojivua ubunge na kukihama chama hicho tawala, akisema anaungana na wapinzani kupigania Katiba, haki za binadamu na demokrasia.

Sasa wimbi hilo limehamia kwa wabunge baada ya Maulid Mtulia kujivua uanachama wa CUF na ubunge wa Kinondoni mwishoni mwa wiki. Uamuzi wake umefuatiwa na ubashiri kuwa kuna wabunge wengine kadhaa walio safarini.

Habari hizo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, zikiwakariri baadhi ya wabunge wakiwatuliza wanachama na wafuasi wao wasishangae watakaposikia wenzao wametangaza kuhama upinzani.

Taarifa hizo zinawataja baadhi ya wabunge kutoka Chadema na CUF kwamba wako kwenye mazungumzo ya kuhitimisha safari yao ya kuhamia CCM kwa madai ya “kuunga mkono jitihada za kuleta maendeleo nchini zinazofanywa na Rais Magufuli”.

Baadhi ya wabunge wa Chadema ambao wanatajwa ni Saed Kubenea (Ubungo), James Millya (Simanjiro), Anthony Komu (Moshi Vijijini), John Mnyika (Kibamba), Japhary Michael (Moshi Mjini) na Cecil Mwambe wa Ndanda.

Kwa upande wa CUF ni Zubery Kuchauka (Liwale), Magdalena Sakaya (Kaliua) na Maftaha Nachuma wa Mtwara Mjini.

Taarifa za wabunge hao kuhama zilichagizwa na kauli ya mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema aliyeandika katika akaunti yake ya Twitter kwamba leo (Jumatano) au Ijumaa kuna wabunge wa upinzani watatangaza kuhama.

Lema alibashiri kuwa mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila aliyekuwa NCCR-Mageuzi na baadaye Chadema, angehamia CCM, akimuelezea kama “mwanasiasa kijana aliyekuwa machachari 2010-2015”.

Katika ujumbe wa juzi, Lema, ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, aliandika: “Kati ya Jumatano (leo) wiki hii na Ijumaa, pesa itakuwa na thamani kwa maisha ya mvulana mmoja ambaye ni mbunge kutoka Chadema.”

Kauli hiyo ya Lema iliamsha mjadala huku anayezungumzwa zaidi kuhama akiwa ni Kubenea ambaye inaelezwa kwamba atahamia CCM, lakini alipoulizwa jana hakuweka bayana.

“Siwezi kuzungumza na chombo kimoja kimoja cha habari. Kesho au keshokutwa nitazungumza. Nipo katika maandalizi na nitaeleza hicho kinachoelezwa,” alisema Kubenea.

Jibu kama hilo lilitolewa na Ole Millya, ambaye alihamia Chadema 2015 wakati wa ‘mafuriko’ ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowasa.
“Kwa sasa nisijibu chochote, wakati ni dawa,” alisema.

Alipoulizwa kuhusu hali ya sintofahamu kwa wananchi waliomchagua, alijibu: “Wananchi wangu, najua jinsi ya kudeal nao mimi.”
Baadaye Ole Millya alisema heshima aliyopewa na wana Simanjiro ni kubwa na anatambua hilo, hivyo wapuuze yanayoandikwa kwenye mitandao ya kijamii.

Alisema ana njozi ya Simanjiro mpya na aliweka msimamo asizungumze chochote hadi Ijumaa, ila kwa heshima ya wana Simanjiro ameamua kukanusha hilo.

“Nimesema niwajulishe kwa sababu ninyi ndiyo marafiki, mabosi wangu. Nami nataka muwe na ukweli kutoka kwa mbunge wenu. Wacha wapige ramli, waendelee kupiga ramli zao,” alisema Ole Millya.

Kauli ya Ole Millya inalingana na ya Kuchauka ambaye alisema akiwa upinzani anaweza kuisimamia Serikali vilivyo kuliko akiwa CCM.

“Kwanza hawawezi kuja na wakija, unatakiwa uwe umeonyesha mwelekeo huo na mimi ninaamini nikiwa upinzani naweza kuisimamia Serikali na kuisema ila ukiwa CCM unafungwa mdomo na huwezi kuisimamia au kuikosoa,” alisema Kuchauka.

Kauli kama hiyo ilitolewa na Sakaya. “Hao wanaonitaja ni propaganda tu. Mimi ni mtu wa misimamo na sijawahi kuyumbishwa na wala sitegemei kushikiwa akili,” alisema kaimu katibu mkuu huyo wa CUF upande wa Profesa Ibrahim Lipumba.

“Mimi ni mbunge, nimekuwa napongeza inapobidi na kukosoa inaponilazimu. Hao wanaoondoka kuwa wanamuunga mkono Rais sijui wamekwenda shule? Kwani ukiwa upinzani huwezi? Wananchi wamekuamini halafu. Nafikiri kuna ajenda na yawezekana wananunuliwa kwa fedha nyingi ambazo mimi siwezi kukubali.”

Mnyika alipotafutwa na Mwananchi alijibu kwa kifupi tu; “sio kweli, ni habari za uongo.”
Hali haikuwa rahisi kwa Mwananchi kumpata Komu, Mwambe na Jafary.

Lakini juzi, meya wa Ubungo Boniface Jacob aliandika ujumbe katika akaunti yake ya Instagram kuwahakikishia wanachama na wafuasi kuwa kuna jaribio la kumng’oa Mnyika.

“Mwambieni... aache kupiga simu ovyo. Tumemrekodi na tutaendelea kumrekodi tumuaibishee. Any time atume sms au apige tena aone,” ameandika katika akaunti hiyo na kuonya kuwa Mnyika si mtu wa kuahidiwa cheo na madaraka ya kuhongwa.
Akizungumza na Mwananchi jana, Meya Jacob alisema walikuwa wakimsumbua Mnyika.
“Niliamua kutoa ufafanuzi huo kwa kuwa tulikuwa na Mnyika halafu wanampigiapigia simu hao (anawataja majina). Ndio maana nikaamua kuandika hivyo kuwa Mnyika hawezi kuhama na kesho (leo) tutakuwa na Kamati Kuu,” alisema.
Mwandishi wa post hii pia uko "biase" , kila unapomuongelea Mbunge anayetaka kuhamia CCM unatumia maneno " anadai" kuunga mkono, lakini unapomuongelea Mbunge kutoka ccm hutumii neno hili, Nini maana yako, Je hata wewe unachuki na ccm? Au wewe ni CDM ? Usiwe vuguvugu.
 
wakati wa kampeni ccm inahonga chumvi, kanga, tshirt, kofia na vingine vingi kwa lalahoi, leo hii wanadhamana ya kuwatumikia nchi bado tabia zao hawajaacha, hivi kazi mliyopewa na wananchi mtafanya kwa ufanisi kweli?

Sasa mikutano ya siasa mmekataza lakini mnafanya siasa za ajabu kuwahi kushudiwa ndani ya nchi hii

msipobadilika wenyewe muda ni mwalimu mzuri sana
 
Joto la wanasiasa wa upinzani, hasa kutoka vyama vilivyounda Ukawa, kuhamia CCM likiendelea kuongezeka, majina ya baadhi ya wabunge yamekuwa yakihusishwa na wimbi hilo.

Lakini walipotafutwa na Mwananchi, baadhi hawakuwa tayari kutoa msimamo wao kuhusu uvumi huo, wengine walisema watatoa taarifa rasmi leo na baadhi yao walikanusha vikali.

Kwa kauli ya “kuunga mkono jitihada za Rais John Magufuli”, madiwani walianzisha joto hilo kwa kujivua nyadhifa zao na kutangaza kuhamia CCM, lakini Lazaro Nyalandu alibadilisha upepo alipojivua ubunge na kukihama chama hicho tawala, akisema anaungana na wapinzani kupigania Katiba, haki za binadamu na demokrasia.

Sasa wimbi hilo limehamia kwa wabunge baada ya Maulid Mtulia kujivua uanachama wa CUF na ubunge wa Kinondoni mwishoni mwa wiki. Uamuzi wake umefuatiwa na ubashiri kuwa kuna wabunge wengine kadhaa walio safarini.

Habari hizo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, zikiwakariri baadhi ya wabunge wakiwatuliza wanachama na wafuasi wao wasishangae watakaposikia wenzao wametangaza kuhama upinzani.

Taarifa hizo zinawataja baadhi ya wabunge kutoka Chadema na CUF kwamba wako kwenye mazungumzo ya kuhitimisha safari yao ya kuhamia CCM kwa madai ya “kuunga mkono jitihada za kuleta maendeleo nchini zinazofanywa na Rais Magufuli”.

Baadhi ya wabunge wa Chadema ambao wanatajwa ni Saed Kubenea (Ubungo), James Millya (Simanjiro), Anthony Komu (Moshi Vijijini), John Mnyika (Kibamba), Japhary Michael (Moshi Mjini) na Cecil Mwambe wa Ndanda.

Kwa upande wa CUF ni Zubery Kuchauka (Liwale), Magdalena Sakaya (Kaliua) na Maftaha Nachuma wa Mtwara Mjini.

Taarifa za wabunge hao kuhama zilichagizwa na kauli ya mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema aliyeandika katika akaunti yake ya Twitter kwamba leo (Jumatano) au Ijumaa kuna wabunge wa upinzani watatangaza kuhama.

Lema alibashiri kuwa mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila aliyekuwa NCCR-Mageuzi na baadaye Chadema, angehamia CCM, akimuelezea kama “mwanasiasa kijana aliyekuwa machachari 2010-2015”.

Katika ujumbe wa juzi, Lema, ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, aliandika: “Kati ya Jumatano (leo) wiki hii na Ijumaa, pesa itakuwa na thamani kwa maisha ya mvulana mmoja ambaye ni mbunge kutoka Chadema.”

Kauli hiyo ya Lema iliamsha mjadala huku anayezungumzwa zaidi kuhama akiwa ni Kubenea ambaye inaelezwa kwamba atahamia CCM, lakini alipoulizwa jana hakuweka bayana.

“Siwezi kuzungumza na chombo kimoja kimoja cha habari. Kesho au keshokutwa nitazungumza. Nipo katika maandalizi na nitaeleza hicho kinachoelezwa,” alisema Kubenea.

Jibu kama hilo lilitolewa na Ole Millya, ambaye alihamia Chadema 2015 wakati wa ‘mafuriko’ ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowasa.
“Kwa sasa nisijibu chochote, wakati ni dawa,” alisema.

Alipoulizwa kuhusu hali ya sintofahamu kwa wananchi waliomchagua, alijibu: “Wananchi wangu, najua jinsi ya kudeal nao mimi.”
Baadaye Ole Millya alisema heshima aliyopewa na wana Simanjiro ni kubwa na anatambua hilo, hivyo wapuuze yanayoandikwa kwenye mitandao ya kijamii.

Alisema ana njozi ya Simanjiro mpya na aliweka msimamo asizungumze chochote hadi Ijumaa, ila kwa heshima ya wana Simanjiro ameamua kukanusha hilo.

“Nimesema niwajulishe kwa sababu ninyi ndiyo marafiki, mabosi wangu. Nami nataka muwe na ukweli kutoka kwa mbunge wenu. Wacha wapige ramli, waendelee kupiga ramli zao,” alisema Ole Millya.

Kauli ya Ole Millya inalingana na ya Kuchauka ambaye alisema akiwa upinzani anaweza kuisimamia Serikali vilivyo kuliko akiwa CCM.

“Kwanza hawawezi kuja na wakija, unatakiwa uwe umeonyesha mwelekeo huo na mimi ninaamini nikiwa upinzani naweza kuisimamia Serikali na kuisema ila ukiwa CCM unafungwa mdomo na huwezi kuisimamia au kuikosoa,” alisema Kuchauka.

Kauli kama hiyo ilitolewa na Sakaya. “Hao wanaonitaja ni propaganda tu. Mimi ni mtu wa misimamo na sijawahi kuyumbishwa na wala sitegemei kushikiwa akili,” alisema kaimu katibu mkuu huyo wa CUF upande wa Profesa Ibrahim Lipumba.

“Mimi ni mbunge, nimekuwa napongeza inapobidi na kukosoa inaponilazimu. Hao wanaoondoka kuwa wanamuunga mkono Rais sijui wamekwenda shule? Kwani ukiwa upinzani huwezi? Wananchi wamekuamini halafu. Nafikiri kuna ajenda na yawezekana wananunuliwa kwa fedha nyingi ambazo mimi siwezi kukubali.”

Mnyika alipotafutwa na Mwananchi alijibu kwa kifupi tu; “sio kweli, ni habari za uongo.”
Hali haikuwa rahisi kwa Mwananchi kumpata Komu, Mwambe na Jafary.

Lakini juzi, meya wa Ubungo Boniface Jacob aliandika ujumbe katika akaunti yake ya Instagram kuwahakikishia wanachama na wafuasi kuwa kuna jaribio la kumng’oa Mnyika.

“Mwambieni... aache kupiga simu ovyo. Tumemrekodi na tutaendelea kumrekodi tumuaibishee. Any time atume sms au apige tena aone,” ameandika katika akaunti hiyo na kuonya kuwa Mnyika si mtu wa kuahidiwa cheo na madaraka ya kuhongwa.
Akizungumza na Mwananchi jana, Meya Jacob alisema walikuwa wakimsumbua Mnyika.
“Niliamua kutoa ufafanuzi huo kwa kuwa tulikuwa na Mnyika halafu wanampigiapigia simu hao (anawataja majina). Ndio maana nikaamua kuandika hivyo kuwa Mnyika hawezi kuhama na kesho (leo) tutakuwa na Kamati Kuu,” alisema.
Mbunge wa Moshi akirudi CCM ni nyumbani kwake kwani huyu alikuwa Mwenzetu na hata huko aliko Nafsi yake ingali CCM

Kuna hili hamlisemei au kwa vile linatoka kwenye himaya ya Mkuu wenu?

Katibu mwingine wa Chadema ahamia CCM

Back
Top Bottom