Juisi ya mabungo

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Juisi Ya Mabungo

Vipimo: Kupata takriban gilasi 6

Mabungo................................................ 3

Maji....................................................... 6 au 7 Gilasi

Sukari..................................................... kiasi upendacho

Chumvi.................................................... kidogo sana

Namna Ya Kutayarisha:

1. Kata mabungo na toa nyama yake tia katika mashine ya kusagia.

2. Tia maji, sukari na chumvi usage kidogo tu.

3. Chuja kisha mimina katika jagi uweke katika friji.

4. Mimina katika gilasi.
 
Mabungo ni nini?

Haya hapa
images(1).jpg
 
Juice ya mabungo ni juice tamu kuliko zote...

Cc Angel Nylon n Mrs Kharusy

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Thanks dear

Kusema kweli mimi nimewacha kutumia arki kwenye fresh juice.

Napenda nipate test ya tunda yenyewe. Na kama juice ya bungo, nanasi na oranges nafanya bila kumix with another tunda nipate Ile ladha yenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Thanks dear

Kusema kweli mimi nimewacha kutumia arki kwenye fresh juice.

Napenda nipate test ya tunda yenyewe. Na kama juice ya bungo, nanasi na oranges nafanya bila kumix with another tunda nipate Ile ladha yenyewe.

Mie napenda arki sana kwenye tambi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hapo changanya na tui la nazi kidogo, uone mlango mwingine wa fahamu USIOJULIKANA utakavyokusumbua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom