Chui mnyama
Member
- Apr 2, 2017
- 69
- 34
Kwa wale wapenzi wa juice za mchanganyiko wa vitu mbalimbali Kama [emoji1647] carrot tango na matunda mbalimbali jipatie sasa juicer makini kwa bei Kama bure njoo inbox kwa namba 0765873325
7800 mkuu? au ya wizi nini
Dah kama sio mbovu basi ya wizi hiyoamesema bei kama bure,nahisi ndio hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ndio waswahili ndio maana Wahindi wa Mlimani City na Posta wanawapiga vitu bei mbaya huku vitu hivyo hivyo the same quality ukienda Kariakoo bei kitonga.Mkiuziwa bei ndogo mnasema ya wizi mkiuziwa bei kubwa maneno tupu
Mkuu nani kataja hiyo bei mbona mi nimetaja namba yangu ya simuKama upo serious,kula 7800 mkuu
Mkuu haupo kibiashara ?Kama upo serious,kula 7800 mkuu