Juice ya Nafaka au Togwa kinywaji

Juice ya Nafaka au Togwa kinywaji

Tunaruhusiwa kukopi na kupesti.?

Hongera sana mkuu
Yes it is Possible mkuu make hata Azam sidhani kama anamuda kusambaza nchi nzima, make hata nikikomaa kivyangu siwezi sambaza hata Mkoa mmoja tu kwa sasa hata Mji mmoja bado ni ishu sana kwa sasa
 
Ndio faida yake mkuu, nina furaha kuona kitu cha namna hiyo, target kwenye marketing lakini kwa bidhaa inajiuza yenyewe,
Wadogo zetu na watoto wetu watapata nafasi ya kulijua togwa hongera sana mkuu.
 
Wakuu, nimeanza kuzalisha Juice ya nafaka au Togwa kwa jina jingine na kuipack kabisa, Yaani inakuwa packed na inakaa muda mrefu sana.

Togwa zinanywekwa kwenye nchi nyingi za Africa ukianzia South Africa kupanda juu, hadi Ethiopia kote huko.Kinacho tofautishwa sana ni Majina ila ukiona kilicho ndani ni kile kile. Mfano Soutj Africa na hadi Zimbabwe wanaita MAHEWU, hii ni ni togwa kabisa na iko packed na inasambazwa.

Kuna nchi hadi Cocacola Company imejitosa na kuzalisha na kupack togwa kabisa.

Ni Bahati mbaya sana sisi tumelala sana kama ilivyo ada yetu. Naweza kwa baadae kuja kitoa Techinic isue
View attachment 1927305View attachment 1927315View attachment 1927318View attachment 1927322
Hongera mkuu, sema kwangu mm nna stereotype kua togwa ni kilevi tokea nikiwa bwana mdogo😂. Itabidi nije kujaribu juisi ya nafaka
 
Kilichobaki ni kutarget niche ya afya tu hapa bongo.
Wakuu, nimeanza kuzalisha Juice ya nafaka au Togwa kwa jina jingine na kuipack kabisa, Yaani inakuwa packed na inakaa muda mrefu sana.

Togwa zinanywekwa kwenye nchi nyingi za Africa ukianzia South Africa kupanda juu, hadi Ethiopia kote huko.Kinacho tofautishwa sana ni Majina ila ukiona kilicho ndani ni kile kile. Mfano Soutj Africa na hadi Zimbabwe wanaita MAHEWU, hii ni ni togwa kabisa na iko packed na inasambazwa.

Kuna nchi hadi Cocacola Company imejitosa na kuzalisha na kupack togwa kabisa.

Ni Bahati mbaya sana sisi tumelala sana kama ilivyo ada yetu. Naweza kwa baadae kuja kitoa Techinic isue
View attachment 1927305View attachment 1927315View attachment 1927318View attachment 1927322
 
Hongera sana kwa uthubutu, ubunifu na kutekeleza kivitendo unachokihubiri mjasiriamali. Mimi nimnywaji mzuri wa vitu vya asili kama hapo siwezi kununua juice ya azam au jambo nikaacha togwa. Ningekuwa arusha ningekutafuta Leo hii.
Jikite sana kutafiti mikoa mbalimbali mpaka vjijini ili kupata mbinu mbalimbali za utengenezaji kwasababu nimeona karibu kila mtu au eneo au tamaduni au kabila lina namna yao inayotofautiana katika upishi, recipes na ladha. Dodoma, Kanda ya ziwa kuna togwa nzuri sana
 
Kabisa mkuuu
 
Back
Top Bottom