Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,147 Reaction score 43,079 Aug 7, 2024 #1 Huyu Sweetbert Nkuba ana haki ya kukata rufaa sio kwa Mbwembwe kqma hizi
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,271 Reaction score 96,398 Aug 7, 2024 #2 Hili nalo mkallitazame... Au nasema uongo ndugu zangu?
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,147 Reaction score 43,079 Aug 7, 2024 Thread starter #3 Asprin said: Hili nalo mkallitazame... Au nasema uongo ndugu zangu? Click to expand... Babu Asprin unaishi shamba siku hizi? na JF umeitupa kabisa
Asprin said: Hili nalo mkallitazame... Au nasema uongo ndugu zangu? Click to expand... Babu Asprin unaishi shamba siku hizi? na JF umeitupa kabisa
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,271 Reaction score 96,398 Aug 7, 2024 #4 Manyanza said: Babu Asprin unaishi shamba siku hizi? na JF umeitupa kabisa Click to expand... Nipo mkuu... Mambo yamekuwa mengi.. Hayo makitu kwenye picha yamenitoa pangoni...
Manyanza said: Babu Asprin unaishi shamba siku hizi? na JF umeitupa kabisa Click to expand... Nipo mkuu... Mambo yamekuwa mengi.. Hayo makitu kwenye picha yamenitoa pangoni...
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,147 Reaction score 43,079 Aug 7, 2024 Thread starter #5 Asprin said: Nipo mkuu... Mambo yamekuwa mengi.. Hayo makitu kwenye picha yamenitoa pangoni... Click to expand... Najua hizi mambo ni zako aisee
Asprin said: Nipo mkuu... Mambo yamekuwa mengi.. Hayo makitu kwenye picha yamenitoa pangoni... Click to expand... Najua hizi mambo ni zako aisee
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,271 Reaction score 96,398 Aug 7, 2024 #6 Manyanza said: Najua hizi mambo ni zako aisee Click to expand... Na hivi kesho ni public holiday, hapa natamani masaa yakimbie kwa kasi ya treni ya SGR....
Manyanza said: Najua hizi mambo ni zako aisee Click to expand... Na hivi kesho ni public holiday, hapa natamani masaa yakimbie kwa kasi ya treni ya SGR....
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,952 Reaction score 24,168 Aug 7, 2024 #7 Dr Lizzy kacheka. Nami naongezea, hahahaha!. Kuna dogo anaumwa cheka cheka atakuja kuunga muda si mrefu. Kwa hiyo watu walipiga cocktail na bado kura wakapiga kwa Mwabukusi? Mimi ningewaloga.
Dr Lizzy kacheka. Nami naongezea, hahahaha!. Kuna dogo anaumwa cheka cheka atakuja kuunga muda si mrefu. Kwa hiyo watu walipiga cocktail na bado kura wakapiga kwa Mwabukusi? Mimi ningewaloga.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,467 Aug 7, 2024 #8 Nguvu ya ushawishi