Yaani hapo hata wanafunzi wakitoka hapo hawaelewi lolote walilolipata kwenye somo ni kumuigiza mwalimu
gfsonwin hebu niambie kweli hii mbinu inawafaa wanafunzi kuelewa au watakuwa wamepata cha kuigiza
Excellent, Umenikumbusha mwalimu wangu wa FIZIKIA pale Mzumbe (Advanced Level) aliyekuwa akijilikana kama MKHOMBOTHI miaka ile haijawa ya ya VIPAJI MAALUM. Pembeni yake alikuwepo mwalimu aitwaye MGANDA, bonge la Bishoo, vitu viwili tofauti katika shule moja. Ilikuwa shughuli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wazumbe msio na Vipaji Mpoooo?!?!?!?!?!
Ndimi Bazazi!
Hii picha inastahili kuingizwa katika picha zinazostahili kupewa tuzo ya mwaka
dingi kalowa jasho kabisa