...hahahahaha..pale huwa nakaa sana..mishikaki umeikubali eehmkuu na wewe unaendaga kwa dudley? ana vyumba vizuri kweli halafu bei poa,mishkaki ya bonga utamu usiseme,leo nitakuja hapo leo. @kongosho ni join basi leo bonga.
Twenzetu corner bar sinza tukavute mizigo,achana na hii midabwada ya chitchat.
Namshangaa, hana huo ubavu lolNyo.oo, thubutu
Utupe vogue utaweza?