Edmond
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 359
- 54
Mbona hakuna mwakilishi kutoka jukwaa la katiba? Naungana na mchangiaji mwingine kwamba shivji angefaa kuwa mwenyekiti wa hii tume, asingekuwa biase sababu si mwanasiasa, nategemea warioba ataweka pembeni mahaba ya uchama na kuzingatia masilahi ya nchi kwanza, otherwise mungu awape wajumbe wote busara ya hali ya juu na kuja na mapendekezo yatakayo saidia nchi yetu.