Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

Mkuu hukufuatilia vizuri,yupo kijana mmoja.Jina limenitoka,kama unayo ile list iweke hapa nikukwambie ni yupi,ila kijana yupo,usihofu

Anaitwa Polepole. Lakini idadi ya vijana haitoshi kama katiba tunayoitaka ni ya kutupeleka mbele miaka 50 ijayo. Wengi waliopo kwenye kamati sina imani kama watakuwepo miaka 10 ama hata 15 ijayo.
 
Anaitwa Polepole. Lakini idadi ya vijana haitoshi kama katiba tunayoitaka ni ya kutupeleka mbele miaka 50 ijayo. Wengi waliopo kwenye kamati sina imani kama watakuwepo miaka 10 ama hata 15 ijayo.

Hamphrey Polepole anawakilisha NGOs kwa vile ni Mwenyekiti wa National Council of NGOS (NACANGO) Hajaenda kama mtu aliyetoka kundi la vijana.
 
Hii Kamati ilifanya makubwa sana lkn wakafeli. Sita na wenzake wakaedit yao lkn sijui inatumika wapi. Yaani dah! Tuombee tuunde tena. Kwa sasa tukitumia tena kigezo cha usomi ni SHIDA zaidi. Nafikiri hawa ndugu huenda wakawa vizuri
 
JK alibadiri matokeo ya mchezo kwenye dakika tatu za nyongeza kwa kutoa Penalty kwa timu pinzani ya ugenini....
Nitamkumbuka Jk kwenye "fedha za Escrow" na Tume ya Warioba! Watanzania wasahaulifu Sana!
 
Back
Top Bottom