Jua rate ya sarafu zote duniani kwenye simu yako

smatskills

Member
Nov 12, 2017
30
19
Kama ni mfanyabiashara au mnunuzi umekuwa ukisunbuka sana kujua thamani ya sarafu fulani, huenda ikawa umeona bidhaa online kwa bei ya nchi fulani lakini hujui thamani yake kwa dola au shilingi.
Leo nakupa njia rahisi ya kujua.
9fa40511ffba9be53b161c8f19c0a0a0.jpg
tumia Carrency App kujua,ipo play store lakini ya kawaida ina matangazo kibao lakini hapa nakupa Pro yake.
Unaweza kuipakua hapa Wafanya Biashara Tumieni Currency app kujua thamani ya pesa ~ SmatSkills kama ukishindwa kuset nipo hapa kusaidia
 
Back
Top Bottom