Jua linawaka kiama, twafaaaaaaaaaa

Jua linawaka kiama, twafaaaaaaaaaa

halafu kuna sisi tunaofanya kazi juani tokea asubuhi mpaka jioni.

usiku tunaenda kulala usingizi wa kuokoteza, kwa stress na kung'atwa na mbu!
halafu kuna jehanam ya milele inatungojea!!
 
No,
ni 31*C tu gentleman %🐒
Hujapewa mgao wa bilion mia saba nikudalalie hata hii chopper
CCD9580A-A370-4D4E-A436-0685FFDDD07F.jpeg
big chawa?
 
Back
Top Bottom