Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,215
- 54,549
Kwa mvua ama kwa majiNi ishara ya agano lililowekwa na mungu kutoiangamiza tena dunia kwa mvua!
Kwa mvua ama kwa majiNi ishara ya agano lililowekwa na mungu kutoiangamiza tena dunia kwa mvua!
Umeandika katika namna ambayo hakuna mtu mwenye uzoefu na hayo mambo ataelewaKasome kitu kinaitwa Ice crystals,
Kifupi ni kwamba hiyo hutokea pale mwanga wa Jua hupita katika mamilioni ya tiny hexagonal ice crystals zinazo ning'inia katika mawingu ya Cirrus yenye mwinuko wa juu.
Maji ya bomba? Mvua mzeeKwa mvua ama kwa maji