Jua limezungukwa na rangi ya upinde

Kaka ni hivi.hapo anagni Kuna layer la wingu la barafu ambalo likiyeyuka ndio hushuka kama mvua.
Hilo hapo Limekaa kama kioo sio kama sio kama Lile wingu nene jeusi.sasa jua linawaka lakini sababu ya hiyo layer ya barafu mwangaza wa jua umeshindwa kupenya direct umejikunja na kuform hizo rangi kama mduara.

Na hii ishra inakujuza kwamba eneo ulilopo utarajie mvua ndani ya masaa 24 hata kama ya kawaida ama manyunyu.hii ishara watu wengi wa kijijini mashambani wanaitumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…