muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,084
- 15,282
...Ha ha kweli hamumtaki jamaa aisee..Asante mweshimiwa rais kwa kuleta jua..
...Ha ha kweli hamumtaki jamaa aisee..Asante mweshimiwa rais kwa kuleta jua..
vipaumbele mkuu. ile hela ya kujenga chato airport ingeweza kujenga irrigation kubwa sana. schemes zote tumejengewa na wafadhili sisi hatuna akili ya kuona umuhimu wa umwagiliaji.Tanzania bila kuweka mikakati madhubuti katka sekta ya kilimo watu wengi tutafail suluhisho ni IRRIGATION tu ukienda mikoa mingi mvua zikiwa zinanyesha maji yanapotea mengine yanasababisha hadi mafuriko. Sasa kwa nn Serikali wasichimbe mabwawa makubwa ya kuhifadhia maji kipindi cha mwaka mzima ili yatumike kwa mifugo na umwagiliaji.mfano wale SUMA JKT wana vifaa vyote kwa nn wasifanye operation ya kuchimba mabwawa kwa kila wilaya baaada ya miaka 2 tu tunakua wazalishaji wa chakula kwa uhakika
Kilimo cha kutegemea mvua sio kilimo bali ni bahati nasibu,kilimo cha kumwagilia mashamba ndio suluhisho la yote,pale Kajiado Kenya palikuwa ni jangwa na pakavu kweli ,lakini wenzetu ni wabunifu,wamechimba visima virefu ambavyo hutumia kumwagilia mashamba yao ,ukipita hivi sasa Kajiado ni ukanda wa kijani,unapozungumzia kilimo cha kutegemea mvua hapo ndipo namkumbuka marehemu Gaddafi aliyebadili Libya kutoka kuwa jangwa na kuwa nchi ya kijani,tatizo letu Watanzania ni kupenda sana porojo za kisiasa na uvivu wa kufikiri nje ya uwigoDua zenu jamani mvua inyeshe Kiteto tunaelekea wiki ya sita sasa, mazao tuliyopanda yameanza kuchoka
Sina shaka na Mungu ila maombi muhimu..
Hilo ndio tatizo unaleta siasa kwenye mambo muhimu,je Chato airport imeanza kujengwa mwaka gani hadi tusiwe na vipaumbele kwani kujengwa kwa Chato airport ndio kumetuletea umasikini na je umasikini ndio umeanza sasa baada ya kujengwa hiyo airport,huo ndio unafiki wa Watanzania,Sumaye aliamua kuboresha uwanja wa ndege Arusha wakati pale ni karibu na KIA na pia wakati huo mikoa mingi ilikuwa hata viwanja vya tope havikuwepo ,na hatukusikia hizo kelele.tuangalie hali halisi,sidhani kama kutojengwa kwa Chato Airport basi kutatufanya tuwe na maisha bora.vipaumbele mkuu. ile hela ya kujenga chato airport ingeweza kujenga irrigation kubwa sana. schemes zote tumejengewa na wafadhili sisi hatuna akili ya kuona umuhimu wa umwagiliaji.
Viongizi wetu wanawaza kuvuna wanachama kutoka chadema basi akili zao ndo zinakomea hapoTanzania bila kuweka mikakati madhubuti katka sekta ya kilimo watu wengi tutafail suluhisho ni IRRIGATION tu ukienda mikoa mingi mvua zikiwa zinanyesha maji yanapotea mengine yanasababisha hadi mafuriko. Sasa kwa nn Serikali wasichimbe mabwawa makubwa ya kuhifadhia maji kipindi cha mwaka mzima ili yatumike kwa mifugo na umwagiliaji.mfano wale SUMA JKT wana vifaa vyote kwa nn wasifanye operation ya kuchimba mabwawa kwa kila wilaya baaada ya miaka 2 tu tunakua wazalishaji wa chakula kwa uhakika
Umwagiliaji inataka mtaji wa kutosha,sasa kwa vyuma hivi hata mitaji taabu tupumimi kutegemea kilimo cha kuangalia mawingu ndio nilishakataa kabisa. sasa hivi hapo watu matumbo joto shida yote ya nini.poleni
Rudisha avatar yangu mzeeHatari mkuu mm nipo pwani huko unahisi upo kwenye oven
Avatar yangu Mzee rudishaKutegemea mvua za msimu ni tatizo..
yote hayo ya kujenga viwanja vya Arusha ni kukosa vipaumbele na siyo kwamba watu hawakuongea bali inawezekana wewe hukusikia. serikali hii haijaanza leo kukosa vipaumbele. Chato ni mfano tu na kuongelea ubovu wa uamuzi wa kujenga chato si siasa ni uchumi sema kwasababu mda wote unawaza siasa povu limekutoka!!Hilo ndio tatizo unaleta siasa kwenye mambo muhimu,je Chato airport imeanza kujengwa mwaka gani hadi tusiwe na vipaumbele kwani kujengwa kwa Chato airport ndio kumetuletea umasikini na je umasikini ndio umeanza sasa baada ya kujengwa hiyo airport,huo ndio unafiki wa Watanzania,Sumaye aliamua kuboresha uwanja wa ndege Arusha wakati pale ni karibu na KIA na pia wakati huo mikoa mingi ilikuwa hata viwanja vya tope havikuwepo ,na hatukusikia hizo kelele.tuangalie hali halisi,sidhani kama kutojengwa kwa Chato Airport basi kutatufanya tuwe na maisha bora.
....Aisee..yako?..sawa.Avatar yangu Mzee rudisha
Poleni..hii ndio shida ya kilimo cha mvua.Dua zenu jamani mvua inyeshe Kiteto tunaelekea wiki ya sita sasa, mazao tuliyopanda yameanza kuchoka
Sina shaka na Mungu ila maombi muhimu..
Hili suala sijui ugumu wake ni nini kwakweli. Kweli majira yame badilika na sisi yatupasa tubadilike.Tanzania bila kuweka mikakati madhubuti katka sekta ya kilimo watu wengi tutafail suluhisho ni IRRIGATION tu ukienda mikoa mingi mvua zikiwa zinanyesha maji yanapotea mengine yanasababisha hadi mafuriko. Sasa kwa nn Serikali wasichimbe mabwawa makubwa ya kuhifadhia maji kipindi cha mwaka mzima ili yatumike kwa mifugo na umwagiliaji.mfano wale SUMA JKT wana vifaa vyote kwa nn wasifanye operation ya kuchimba mabwawa kwa kila wilaya baaada ya miaka 2 tu tunakua wazalishaji wa chakula kwa uhakika
Na kwa kawaida zatakiwa kuanza kunyesha mwanzoni mwa mwezi March, lakini hata dalili hakuna.Hatari mkuu mm nipo pwani huko unahisi upo kwenye oven
Wazo zuri sana. Hata hivyo siyo jipya. Labda swali, je ni kipaumbele cha wenyewe? Nakumbuka ilishaundwa hadi Wizara itakayosimamia?lakini sina takwimu ni mabwawa mangapi yalijengwa hadi leo! Ukiangali mfano, licha ya mabwawa ya kuchimba,kuna mabwawa ya asili kama Ziwa Victoria. Mpunga au mahindi yapo Mita 300-400 toka ziwani yanakauka kwa kusubiri mvua inyeshe. Duuuh. Let us work up ! One man chatting style of politics is a deadly ever drama!Tanzania bila kuweka mikakati madhubuti katka sekta ya kilimo watu wengi tutafail suluhisho ni IRRIGATION tu ukienda mikoa mingi mvua zikiwa zinanyesha maji yanapotea mengine yanasababisha hadi mafuriko. Sasa kwa nn Serikali wasichimbe mabwawa makubwa ya kuhifadhia maji kipindi cha mwaka mzima ili yatumike kwa mifugo na umwagiliaji.mfano wale SUMA JKT wana vifaa vyote kwa nn wasifanye operation ya kuchimba mabwawa kwa kila wilaya baaada ya miaka 2 tu tunakua wazalishaji wa chakula kwa uhakika