Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,105
Wewe una utani na kilimoKuna eka zangu mbili na nusu huko! Napata presha
Wewe una utani na kilimoKuna eka zangu mbili na nusu huko! Napata presha
Kwanini wakulima wasijichimbie mabwawa ?Tanzania bila kuweka mikakati madhubuti katka sekta ya kilimo watu wengi tutafail suluhisho ni IRRIGATION tu ukienda mikoa mingi mvua zikiwa zinanyesha maji yanapotea mengine yanasababisha hadi mafuriko. Sasa kwa nn Serikali wasichimbe mabwawa makubwa ya kuhifadhia maji kipindi cha mwaka mzima ili yatumike kwa mifugo na umwagiliaji.mfano wale SUMA JKT wana vifaa vyote kwa nn wasifanye operation ya kuchimba mabwawa kwa kila wilaya baaada ya miaka 2 tu tunakua wazalishaji wa chakula kwa uhakika
Dua zenu jamani mvua inyeshe Kiteto tunaelekea wiki ya sita sasa, mazao tuliyopanda yameanza kuchoka
Sina shaka na Mungu ila maombi muhimu..
Mungu asidie tuu ila kuna dalili kubwa sn ya mjaaNa kwa kawaida zatakiwa kuanza kunyesha mwanzoni mwa mwezi March, lakini hata dalili hakuna.