Jua kali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jua kali!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Askari Kanzu, Sep 24, 2012.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hali halisi. Kijua cha saa sita mchana na kauli mbiu ya maisha bora kwa kila mtanzania. Kudaadadeki!

  [​IMG]
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Mkuu Askari Kanzu Tanzania ndivyo ilivyo hivyo? Kumechoka namna hivyo jamani? Sisi WaTanzania hatuna Viongozi wa nchi wanaoipenda nchi yao jamani? Mabarabara mabovu mji unanuka maji safi hakuna hakuna umeme ahhhh tutafika kweli jamani?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Somebody aniambie hapo ni mji gani wa Tanzania?
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kwani uko wapi mkuu, usiyekuja kuona hali halisi.
   
 5. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unauliza tutafika wakati unaona kabisa ndio tunamalizia kuzama.
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  puliiz....anayejua atuambie tuna shida na jina la eneo.......
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hii sio tz jamani
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Hapo ni Malawi na sio Tanzania
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  duh....bora....
   
 10. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Hapo hakuna cha ubora, mbona hata bongo kwa sana tu. tofauti ni maeneo tu.
   
 11. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  kama hapa ni malawi basi waache chokochoko ya vita na nchi yoyote!!!!
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Hakuna anayeweza kuthibitisha kuwa hapo ni Tz, nimeshindwa kupata plate numbers za hayo magari. Hata hivyo, daladala za miji mingi kama si yote Tz zina onesha ziendako na hazina rangi moja achilia mbali rangi NYEKUNDU!!!!!! Kama ni airtel basi ujue nchi nyingi Africa zinatumia mtandao wa Airtel. Leteni uthibitisho tusilaumu tuuuuuuu. INGAWA najua hapa tz mambo yanaweza kuwa mabaya sana kuliko haya!!!!!
   
Loading...