JUA GHARAMA ZA UJENZI, 50% DISCOUNTS NK HAPA

Jenganajeco

Member
Apr 28, 2017
16
9
Sisi ni Jenga na Jeco ni kampuni iliyo sajiliwa rasmi na tuna umoja(Network) na watengenezaji-Wasambazaji-Wauzaji-Wasafirishaji-wakandarasi-wananchi wanaojenga-Mashikika ya Ujenzi na NGO's kuwasaidia watanzania kununua na kuuza vifaa na huduma za ujenzi kwa bei nafuu zaidi na tunatoa huduma zifuatazo:
-Ushauri wa kujenga kutoka kwa wakandarasi wetu bure
-Huduma ya usafirishaji wa Local Material kama Mchanga/Kokoto/Tofali nk
-Kuwasaidia wenye vijiwe vya material za ujenzi kuwapatia masoko ya kuuza
vifaa vyao vya ujenzi kama Matofali,Pavin,Mbao nk
-Kutoa ajira kwa vibaru wa ujenzi kwa makampuni ya wakandarasi
-Tuna tangaza matango ya biashara za ujenzi na huduma za ujenzi
-Tunatoa huduma ya usafirishaji wa vifaa vya ujenzi mikoani kwanzia lori Toni 10-34
Kwa mawasiliano:
Simu: 0684 322 333 au 0766 313 300
Barua pepe: jecoarusha@gmail.com
 
Kwa mahitaji ya vifaa vya ujenzi aina zote kama vile marine boards, plywood, silingboard, steel bars, steel doors, gypsum boards, nails, galvanized iron sheet, color steel tile rangi zote safety gears zote kwa bei ya jumla na nafuu

Napatikana kwa 0768029967
ec84ff5d04c476caab0b522bbaeba0c9.jpg
d68c6aba38196361a963370035ebf8bd.jpg
 
Back
Top Bottom