Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 455
Yeah yeah ya mwaka mpya wakuu zangu na ya mwaka mkuu kuu wadogo zanguni? Jamani tukiwa tumebakiwa na masaa tu mwaka ukatike mie na ka swali...Dada zangu najua mvua hampendi ikinyesha sana, jua nalo hamlitaki likiwaka sana, mvua na ukame vyote hamzipendi ila tu kama zinakuwa ado ado, kwangu mimi napenda sana mvua kama za vuli maana ndo ustawi wa mazao unakuwa poa, kuna zile za rasharasha na mwanzo wa kulima mashamba ni muhimu sana maana husaidia kuotesha mbegu, zile za manyunyu zenyewe ni kiboko ya wote maana huwa ni taratibu lakini huwa ni hatari sana na hata husababisha mafuriko maana hunyesha kwa muda mrefu, zingine zile za elnino kiboko ya yote, ni mvua haswa na husababisha mafuriko haswa, Je, wewe dada unapenda mvua gani? Kina kaka mnapenda mvua ipi imnyeshee mwanadada? Mie napenda ile manyunyu ikianzia na ya rasharasha....elnino kwangu sio poa na jua silipendi maana huleta ukame......Heri Ya Mwaka Mpya Jamani....