J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

Kwa hiyo alichokuwa anakitafuta huko jela kaishakipata?
 
Ni kosa kisheria kukataa dhamana na kama mahakama ikiamua inaweza kukuacha ndani kama adhabu kadri itakavyoona inafaa. wale wenzetu watatuambia ni mkono wa CCM

sheria ya wapi?
 

unaogopa mwenyewe mama Batilda hahahhahahahaha
 

Ni kosa kisheria kukataa dhamana na kama mahakama ikiamua inaweza kukuacha ndani kama adhabu kadri itakavyoona inafaa. wale wenzetu watatuambia ni mkono wa CCM

Kama Lema hakukubaliana na mahakama kwamba hataki kupewa dhamana kwa muda gani hasitahi kutoka kwa hiari yake hadi pale mahakama itakavyoamua vinginevyo

Mbona sikusomi? Vipi ...wewe mwenyee umejielewa unataka au unaongea nini?
 

Mnamzungumzia yule ***** wa Arusha aliyevibip vyombo vya dola na vyenyewe vikapokea na yeye akaanza kulia lia? Hakimu tafadhali, fuata misingi ya kisheria. Kama hajatekeleza masharti ya dhamana mrudishe huko huko kisongo akazoee vizuri kulala mchongoma.
 
Hamu yake ya kukaa selo kwani imeisha?..
 
Angejitahidi amalize angalau mwezi bana akiwa lupango
 
Ni kosa kisheria kukataa dhamana na kama mahakama ikiamua inaweza kukuacha ndani kama adhabu kadri itakavyoona inafaa. wale wenzetu watatuambia ni mkono wa CCM
Sheria gani!
 
Kashikishwa adabu atolewe tu jumatatu! Alikataa dhamana,akataka atoke gerezani akabaniwa na mahakama na mtaani wataalam wamemlia mzigo wake kiulaani!
 
vp kuhusu vikao vya bunge linaloendelea? sheria zinasemaje kuhusu kukosa kwake?
 
Nataka J'tatu yule hakimu ampinge tena Lema miezi mitatu mpaka mwakani mwezi wa kwanza
 
Nataka J'tatu yule hakimu ampinge tena Lema miezi mitatu mpaka mwakani mwezi wa kwanza


Muombe ushauri RC kandoro wa mbeya kuhusu hii kauli yako, yeye lazima atakuwa na ushauri muafaka kabisa. Hamkawii kwenda kumuomba lema atoke kishogo kuja kuongea na wapiga kura wake watulie wakati mnafuta taratibu za kufuta kesi.
 

Atatoka baada ya kuwa ndani kwa siku 14 hata baada ya mahakama inayoongozwa na serikali legelege kupigwa mkwara na chama strong kwamba lazima Kamanda Lema a.k.a Mandela, a.k.a Steve Biko, a.k.a Che Guevara, a.k.a Julius Nyerere, mpiganaji; atoke! Chama STRONG kimeshindwa kuishinikiza serikali LEGELEGE.....wait! wait! wait! nahisi kama nimechanganya mambo hapa!.....HIVI ni SERIKALI LEGELEGE dhidi ya CHAMA STRONG au ni serikali legelege iliyo-PROVE kwamba ni SERIKALI STRONG ISIYOTETEREKA dhidi ya CHAMA STRONG kilicho-prove kwamba ni CHAMA LEGELEGE!!!
 

1 MB na 1 GB zote ni Internet bundles lakini kuna tofauti kubwa sana kati ya hizi packages.....Jamaa ka-click, wenzake waka-download!!! Una
1 MB package halafu unataka kucheki movie kupitia internet!!!!! What a joke!!!
 
Mimi nakuambia si kosa; tunukulie kifungu kinachosema kuwa ni kosa; vinginevyo, wewe ni mnafiki wa kuzaliwa (usiyeweza kubadilika)
 
Hebu ondoa upupu humu ndani! Sio maneno hayo ni ushuzi mtupu; kila mtu angeongea anavyotaka tu kama wewe pangetosha humu?
Bainisha vigezo (factors) na nukuu stahiki maana hili ni jambo la kisheria!

Kipepeo wa kwanza kumuona anayenuka!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…