J.K.Rayhope
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 316
- 31
Siku ya Jumatatu ndani ya jiji la Arusha ni siku ya mapunziko baada ya kamanda Lema kutoka!
Mimi nimeshaBook chumba pale Kisongo kuanzia kesho jumapili nitakua huko ili jumatatu niamkie gerezani kumsindikiza kamanda wa machalii kuja mahakamani! na ole wake huyo hakimu alete Magamba style! Bora atafute sehemu ya kwenda kuishi nje ya jiji la Arusha.
Lema hajui sheria na anataka kucheza nazo na ndio maana CCM wanamchezea kama mpira wa danadana. Alipokataa dhamana alifikiri ni kitendo cha kijasiri na kuwakomoa polisi kumbe wapinzani wake wakatumia nafasi hiyo kumbana kwa sheria. hakuna mkono wa mtu kwani hakunyimwa dhamana siku ya kwanza mbona mbowe, Lisu na Slaa wamepewa wanawasiliana vema na wanasheria wao.
Natamani Lema akataye tena kupewa dhamana utakuwa ni ujasiri wa hali ya juu
kama lema hakukubaliana na mahakama kwamba hataki kupewa dhamana kwa muda gani hasitahi kutoka kwa hiari yake hadi pale mahakama itakavyoamua vinginevyo
Juzi nimecheka mpaka mbavu zimeniuma kusikia kiongozi Dkt slaa ajificha kwenye masanduku ya spika, kweli chadema mwacheni mzee wa watu ajipumzikie mikiki mikiki ya siasa haiwezi, wakaitisha maandamano nchi nzima utadhani chama chenyewe kipo nchi nzima kumbe ni Arusha, polisi wakatia mkwala ole wake atakaye andamana, wakafyata mkia.
Ndipo ninapowakumbuka cuf wao huwa wanasema wanapenda maandamano yanayozuiwa na polisi na wanapo waona polisi mzuka unapanda, cuf chukueni nafasi yenu mtukomboe.
we faiza wanaume wakiongea we mfuga maziwa kaa pembeni...Atawahi? si alitaka kutoka Serikali ikamwambia subiri ujuwe ni nani zaidi wewe kinyangarakata au Serikali?