JR tafadhalini naomba msaada wa haraka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JR tafadhalini naomba msaada wa haraka!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by JUDITH MGASSE, Sep 13, 2012.

 1. J

  JUDITH MGASSE Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari! tafadhali kwa anayejua jinsi ya ku apply kwa hawa UN volunteers! kama unataka kuvolunteer! maana wametangaza volunteer ila hawajasema jinsi ya kuapply! yaani contact ama form na kwenye web yao sioni! pls kwa anayejua! wametangaza na post pia yaani si volunteer na wameonesha jinsi ya ku apply ila kwa volunteer hawajaonesha! pls msaada wajameni!
   
 2. Lyamber

  Lyamber JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 4,186
  Likes Received: 2,628
  Trophy Points: 280
  ndugu fungua website yao kila kitu kipo kuanzia form mpaka yan maelezo yote yale yapo
   
 3. b

  babacollins JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Relax!!! kila kitu iko pal e.Na ukitaka kujua hujatulia JR ni nini? taratibu mkuu...................
   
 4. m

  masoudmpenzw Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ww imgia kwenye website yao kisha utafuata maelekezo,,,
   
Loading...