JPM aliweza Live!,Je! SSH anaogopa nini?

Magufuli alikuwa na akili nyingi sana yule jamaa alikuwa anajua nini azungumze wakati na mahali gani
 
Usimlinganishe JPM na vitu vya kijinga
 
Rais hapaswi kudeal na kesi za mtu mmoja mmoja ndio maana SSH akifika anamhoji mbunge au mkuu wa mkoa hawa ndio walioshika mahitaji ya sehemu zote.Shida za mmoja mmoja mwananchi inabidi asiwasilishe kwa viongozi wa ngazi ya chini.kama hajatimiliziwa mahitaji yake sasa hivi kuna media nyingi sana ni vyema kupeleka huko.
Mfano chukulia kwa yule mwanafunzi wa Chalinze alivyotumia media kuelezea shida zake na hatimae haki kupatikana.

Endapo rais atadeal na individual cases mwisho wake itapelekea kuamua hata kesi za kifamilia hiyo mtambebesha rais kazi kubw sana
 
Aliongea live ndio na ndo maana anatoka nje ya reli, anaongea mpaka yale hayastahili kwenye jamii zetu, zipo ajira / watu kumuandalia hotuba rais , SSH KWa hili namtetea
 
Akitokea mtu ambaye hakuona utawala wa Magufuli anaweza kuamini hiki kilio chako. Tuliona ukatili na kiburi chake cha madaraka tunajua kabisa hiki ni kilio cha kupoteza fursa baada ya kufiwa na sponsor.
Mzee utapambana na maiti mpaka mwisho wako hapa duniani. The guy was exceptional, a human with errors but very exceptional na alieacha wafuasi chungu nzima na jinsi utawala huu unavozidi kuboronga ndivo anavozidi kuvuna wafuasi .
Endelea kutwanga maji kwenye kinu.
 
Akitokea mtu ambaye hakuona utawala wa Magufuli anaweza kuamini hiki kilio chako. Tuliona ukatili na kiburi chake cha madaraka tunajua kabisa hiki ni kilio cha kupoteza fursa baada ya kufiwa na sponsor.
Kwahiyo ni utawala upi ambao ulikuwa na ahueni kwako?
 
naona jamaa ana hoja hebu tumjibuni hoja zake na tuachane na kauli kama kazikwe nae na mambo ya kuamua ugomvi
Ukimjibu hoja yake tofauti na mawazo ya atakwambia cheti feki km PhD ya ********
 
Na kweli he was exceptional.
Jitu linalothubutu kupiga risasi wapinzani wake hadharani!

Jitu lilotunyima kupanda madaraja na mishahara for 6yrs!

Jitu linalokula mahindi hovyo barabarani!

Jitu lililochezea fedha zetu kwa kuchafua kabisa uchaguzi!

Yes, he was exceptional na kamwe wenye nchi hawatorudia kosa la kuruhusu mshenzi mwingine wa aina yake kututawala kisa tu eti 'he was exceptional'!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…