JPM aliweza Live!,Je! SSH anaogopa nini?

Cheti fake wewe,hata mawazo yako yanaendelea kuwa fake!

Mchango wako uko clear na machungu unayopitia!
USIPIGE HOJA VIRUNGU MJINGA WEWE CHETI FAKE UNAMJUAJE? WEWE UNA VYETI ULISOMA WAPI, UKAISHIA LA NGAPI NA KUFAULU VIPI? USITUKANE WATU
 
Hajitambui huyo jamaa Tindo
Ni ile ile aina ya watumbuliwa waliobaki na vijiba vyao moyoni mpaka siku wanaingia kaburini.
JIBU HOJA USILETE VIROJA.... UKITUMBULIWA HUNA HAKI YA KUTOA MAONI? JIBU HOJA USIZIBE MIDOMO KWA VYETI FEKI.... ISIJE IKAWA WEWE NDO UNAVYO WENZAKO TULIPITIA SHULE KWELI
 
Mtu aliyechoka anaweza pata wapi pesa ya kushidna mtandaoni kwa masaa 8 Kwa siku?

Onyesha kero alizotatua yule muigizaji..

Rais akijadili vyoo DED,RC, Waziri wataongea nini? Msemaji wa Ikulu na Serikali wapo na Mawaziri wapo wanafanya Kazi zao

Zama za maigizo zimekwisha.Kero.zinatatuliwa kama hivi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221029-155436.png
    152.8 KB · Views: 7
Punguani ni wewe unayetumia lugha zisizo staha wala umuhimu kwenye platform kama hizi.

Pia nikukumbushe kuwa kina mwana CCM amefungwa 7 years in prison hivi majuzi huko Bariadi,pamoja na faini ya 15milioni,kwa kumkomoa SSH.

Kuna Mkuu wa mkoa aliwahi kutumbuliwa Mwanza kisa kuruhusu wananchi kwenda na mabango kwenye ziara ya SSH.

Kuna waziri wa ya nje alitumbuliwa hivi karibuni kwa kosa la kualikwa hafla ya chakula na Joe biden- USA huko.
Akaambiwa live kuwa amevuka mipaka!

Kuna vijana lukuki wametolewa majumbani live na Polisi hivi majuzi na kwenda kuuliwa.

Kuna vijana kwa makumi wametoweka hususan jijini Dsm na serikali hii ya SSH iko kimya mpaka sasa.

Kwa hiyo uwe unatunza kumbukumbu na sio kumbikumbi.
 
hovyooooo
 
Hakuna Chawa aliyewahi kufanikiwa kwa kumuabudu Marehemu .

Wewe utakuwa wa kwanza .
Huo uchawa unaufanya wewe ambae huna kazi zaidi ya hiyo unayoifanya.

Ila tu unashindwa kujitambua sababu unawaza ndani ya box la wafipa.
 
nakuonea huruma sana kwakuwa unasumbuliwa na ugonjwa wa ujinga wa kihalaiki? umesahau juzi ulimtukana mtu matusi ya nguoni hapa kisa aliongea usiyoyapenda?
kwahiyo kama kuna mtu amefungwa huko simiyu na faini ya ml 15 ndo ina maanisha ninin?
hovyo wewe kama kuna vijana walitolewa majumbani kwenda kuuwawa ndo inamanisha nini kwako hovyo kabisa?
kanma kuna mkuu wa mkoa alitolewa kisa mabango unaleta ujumbe gani kwetu hovyo kabisa
hakuna hoja yoyote zaidi ya ujinga tu kwamba kwasababu fulani aliua hata fulani akiua ni sawa tu?
noa bongo yako acha ujuha
 
Endelea kusota benchi,ila pole kwa yaliyokusibu.
HISTORIA huwa haifutiki.
bora usote benchi ila uwe na akili zako kuliko uwe BOT kwa kimemo kisha uwe na akili ndogo kama za kwako?
kusoma kwenyewe hujasoma ukaelewa unaishia kuwaita watu wenye vyeti feki kisa wanahoji ujuha wa juha mwenio shabaash
 
Ni dhahiri kwamba huelewi kile unachokiandika,dakika tano unakuwa umekisahau!

Nimekuandikia hayo machache wewe taahira,ili uelewe kwamba mambo yale uliyoandika kumkosoa JPM.
Bado pia hata sasa yanatokea na yapo.

Tunza kumbukumbu tu!
 
Reactions: Cyb
bora usote benchi ila uwe na akili zako kuliko uwe BOT kwa kimemo kisha uwe na akili ndogo kama za kwako?
kusoma kwenyewe hujasoma ukaelewa unaishia kuwaita watu wenye vyeti feki kisa wanahoji ujuha wa juha mwenio shabaash
Ninarudia kukuonya,usije ukamuiga mama yenu na wewe kukopa.

Maana wewe utaishiwa zaidi na mwisho ukajinyonga.
Acha msongo wa mawazo na moyo wa visasi,unapunguza umri wa kuishi na kuhatarusha maisha yako pia.
 
Mfumo ule ndio sahihi kwa hapa Tanzania.
Sasa nini mantiki ya kujaza overheads kubwa kiasi hicho kwenye uongozi wa nchi?: Mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu wakuu, manaibu makatibu wakuu, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, maRAS, maDAS, wakurugenzi wa halmashauri, n.k. tena wenye mishahara na marupurupu kibao.

Halafu wabunge, madiwani, wenyeviti wa halmashauri na vijiji, n.k.

Hii ni ufisadi mwingine wa CCM.
 
Nchi mbali mbali zina mifumo yake ya kiuongozi, unaweza ona sisi tuna matatizo kumbe tukawa afadhali zaidi.
 
Unasema JPM aliongea na watu live kutatua kero ila unasahau kejeli alizowapa wanakagera kuwa hakuchaguliwa kuleta tetemeko na kila mmoja abebe msalaba wake na hata pesa ya rambirambi haikujulikana ilikwenda wapi?
 
Alichokifanya JPM ni haramu na matumizi mabaya ya fedha za umma.
Alitumia kiasi kikubwa cha fedha kujipigia campaign ya ufalme wa milele.
Ashukuriwe , mawazo ya kipumbavu ya Magufuli aliyafuta haraka.
 
Ukisikiliza hotuba yake ya mwisho huyo JPM utahitimisha kuwa alikufa kifo cha mpumbavu.
Kama ndege anavyonaswa kwenye mtego
 
... Muda Si Mrefu huenda ukayatumia,ila kwa namna inhine tofauti....
Yes.

Ni sawa na jamaa zangu flani humu walikuwa wanashangilia sana sana kwa ile 'anaupiga mwingi' nowadays wanaanzisha mada na kuongelea issues tofauti na hata hawataki kusikia hiyo, anaupiga mwingi!.
 
Unasema JPM aliongea na watu live kutatua kero ila unasahau kejeli alizowapa wanakagera kuwa hakuchaguliwa kuleta tetemeko na kila mmoja abebe msalaba wake na hata pesa ya rambirambi haikujulikana ilikwenda wapi?
Pesa ya s rambirambi ndiyo iliyokarabati shule kongwe ya Rugambwa.
Na hata CAG wenu,kwenye hilo alishindwa pa kuichomekea hila chafu.

Kagera bila kuwapacukweli mchungu,wana asili ya kujibeba na kusahau majukumu yao rasmi na kuendekeza Majungu.

Ndio maana SSH amemrudisha Chalamila maalumu kwa kufanya kazi na wahaya wale.
 
Hiyo sio kweli!

Kwa figures za pesa iliyotolewa unataka kusema zilikwenda kukarabati shule?

Vipi wale ambao nyumba zao zilibomoka na wakaambiwa " mwafaa".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…