haaaaaa pole...., mpwa mie mwenyewe giza likiingia nitakuja hapo...., leo band ipo mpwa
Yule jamaa aliyekuwa anachezesha joyce wowowo pale shule ya Uhuru ameshafariki...daaah kitambo sana.
mmmh mpwa nishafika mpwa unapenda giza uwiiii mi giza nataka linikute wahi na kibajaji basi niko mlangoni kabisa upande wa kulia ukiona anaekunywa soda gali kabisa ya coke nimevaa tshirt nyeupe mpwa imeandikwa ""come to jesus"" unaweza ku come na kamadhabahu chako ama ukatuma kwa tigo pesa ukifika nipate hata ka kukunulia soda mpwa wangu
cc:matola upo wapi mpwa

Mpwanakuona kiroho nikiwazakujakuchukua dhabihu haomabaunsa pembeni wananiumizakichwa mmh kamandiomashemeji wallahi ukofit kwabedMpwa unavaa tshirt yenye hayo maandishi hii sehem...
Niko huku counter Mpwa.. sasa kukuona huko ulilokaa ndio shida
Mpwa unavaa tshirt yenye hayo maandishi hii sehem...
Niko huku counter Mpwa.. sasa kukuona huko ulilokaa ndio shida
Hivi hiyo Calabash ni ile mitaa ya Mwenge?au zipo nyingi,naona watu wanaitaja sana kama sehemu ya bata,ila kama mitaa ya mwenge mbona kawaida tu