Joyce Ndalichako yafuatayo usiyasahau

Jun 18, 2015
47
7
1.ondoa GPA
2.ondoa BRN
3.ondoa DV.5
4.asiye fikisha 3.0 ACSEE no degree
5.ondoa mtaala wa 2008
6. Diploma kwa watakao pata below 3.0 ACSEE
 
apandishe viwango vya ufaulu kwa wanafunzi wa sekondari na afutilie mbali kabisa upuuzi wa GPA kwenye level za secondary.
 
Kwani G.P.A ina shida gani hiyo si mfumo tu wa upangaji grades mbona nchi nyingi tu wanatumia kwa level za chini kabisa.tatizo ni kuwa hiyo G.P.A ina akisi uhalisia.
Unajua tatizo la elimu ya kitanzania ipo kisiasa watawala wanataka kuonyesha umma kuwa sera zinafanya kazi-yani ufaulo unaongezeka pasipo quality yoyote
 
Arudishe mitihani ya form tu ukifeli unarudia, aondoe haya ya GPA mana ufaulu ulishushwa mno alama. Hafu arudishe mfumo wa kutumia divisions sio kuondoa sifuri
 
Lakini pia kuna course udom inaitwa special diploma. Wanachukua watoto waliohitimu form four lakini wakakosa nafasi za kuendelea form five kwa sababu ya alama zao kuwa chini ya vigezo vya kuendelea. Hawa vijana wataenda kufundisha wadogo zetu huko mashuleni. Huku ni kudidimiza kiwango cha elimu yetu. Mama ndalichako litazame hili pia, nawasilisha!
 
Aongeze pass mark kwa wote wanaotaka kujiunga na ualimu ktk ngazi zote diploma, degree, masters na PhD. Akumbuke "Education is the mother of all professions" hii itaenda sambamba na kuongeza motisha kwa walimu. Ila serikali naisifu sana kuondoa mafunzo ya grade IlIA.
 
Unajua humu ndani na mtoa mada hamjielewi ,,mnajua tofauti ya TCU na NACTE???? Anasema form four wasiende diploma direct nazani nachanganyikiwa sababu tangu enzi za nyerere vyuo kama MTC,DTC,ATC,vilikua vikitoa FTC na diploma kwa ujumla
 
Kwan waliopasua kwenye "big result now",
kwenye chumba cha mtian walipewa majibu.
Acheni uchawi nyinyi,kwenye elim msilete politics.
Naona majip yenu yameiva yanataka kutumbuliwa.
Nchi inapiga hatua kwenye swala elimu alaf wanachi wenyewe mnakua kikwazo kwa kuyapinga hayo maendeleo.
AU MNAONA WA BRN WANAFAID?
 
Awaondoe Akina MINJA Pale WIZARANI ni Wapiga Dili kama Maofisa UTUMISHI.jamaa ukifika ofisini kwake No 55 Anakaa juu ya Meza kama chakula vile.
 
Unajua humu ndani na mtoa mada hamjielewi ,,mnajua tofauti ya TCU na NACTE???? Anasema form four wasiende diploma direct nazani nachanganyikiwa sababu tangu enzi za nyerere vyuo kama MTC,DTC,ATC,vilikua vikitoa FTC na diploma kwa ujumla

Hawezi kujua thamani ya Elimu ya FTC huyo
 
weng humu ndan ni mapinzan wa elimu, kiukwel nenda sasa advance halafu fanya research kwa wanafunz wa BRN, bola kidogo wanao soma comb za scince ila wale wengne ndo hawajimelew kabisa tusubir ACSEE 2016 RESULTS tutaona.
BRN IONDOLEWE
 
weng humu ndan ni wapinzan wa elimu, kiukwel nenda sasa advance halafu fanya research kwa wanafunz wa BRN, bola kidogo wanao soma comb za scince ila wale wengne ndo hawajimelew kabisa tusubir ACSEE 2016 RESULTS tutaona.
BRN IONDOLEWE
 
weng humu ndan ni wapinzan wa elimu, kiukwel nenda sasa advance halafu fanya research kwa wanafunz wa BRN, bola kidogo wanao soma comb za scince ila wale wengne ndo hawajimelew kabisa tusubir ACSEE 2016 RESULTS tutaona.
BRN IONDOLEWE

Afanye ziara ya kushtukiza Udom iwe sehemu ya kwanza ki ukweli management ya chuo haiwajibiki ipasavyo kama ilivyo ya UDSM wakati chuo kina pesa ya kutosha sana.
 
vijana wengi hawatambui mifumo ya elimu ilivokuwa kabla, wanaleta ndaro tu humu! some how mitihani ya form six inatumika kuchuja wanaoingia vyuo vikuu, wale wa zamani kidogo wanakumbuka f4 waliingia university kwa kufanyishwa mtihani maalum baada ya kufanya kazi kwa muda, mimi niliingilia huko.
 
Back
Top Bottom