Joyce Mhavile: Mkono wa kushoto wa Mengi IPP

Joyce Mhavile: Mkono wa kushoto wa Mengi IPP

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,667
Wakati mwingine inawezekana ni kwa kutokupenda kufuatilia au ni mambo ambayo hayatuhusu, ila leo wakati tunaangalia utoaji wa Tuzo za Malkia wa nguvu, mmoja ya walioshinda tuzo maalumu ya inspirational icon ni Joyce Mhaville.

Wakati anatambulishwa, Ruge mutahaba, Mkurugenzi wa Clouds Media alimuelezea huyu mama toka miaka ya tisini, namna alivyopambana kuisimamisha ITV/Radio one. Katikati ya mjadala watu wakanitonya hata Clouds yenyewe imekuwa ikichukua sana wafanyakazi wengi IPP.

Story bado zikaendelea kwamba katika watu ambao Mzee mengi anawaamini ni Joyce kuliko hata mke wake.

Kwa maneno machache Joyce ndiyo injini ya ITV/Radio one toka ilipoanzishwa na hakuna mtu anayeaminika na Mengi zaidi ya Mhavile.

Mwenye data zaidi anaweza tudondoshea hapa
 
Nampendaga huyu Dada nilikuwa namtania mchumba akawa anajibu ukiwa mkubwa tutaoana lol! Wakubwa wanafaidi kuna wakati alikuwa bomba sana.
We mzee bana huishi vituko...toka zamani...teh teh teh
 
Wakati mwingine inawezekana ni kwa kutokupenda kufuatilia au ni mambo ambayo hayatuhusu, ila leo wakati tunaangalia utoaji wa Tuzo za Malkia wa nguvu, mmoja ya walioshinda tuzo maalumu ya inspirational icon ni Joyce Mhaville. Wakati inatambulishwa Ruge mutahaba mkurugenzi wa Clouds Media alimuelezea huyu mama yoka miaka ya tisini, namna alivyopambana kuisimamisha itv/radio one.. katikati ya mjadala watu wakanitonya hata Clouds yenyewe imekuwa ikichukua sana wafanyakazi wengi IPP. Story bado zikaendelea kwamba.. katika watu ambao Mzee mengi anawaamini ni Joyce kuliko hata klyn.. kwa maneno machache Joyce nildiyo injini ya ITV/Radio one toka ilipoanzishwa na hakuna mtu anaeaminika na Mengi zaidi ya mhavile. Mwenye data zaidi anaweza tudondoshea hapa
Miaka Ile ya 1990 ITV Kulikuwepo Na Wanawake ambao Walikuwa Karibu sana Na Mengi, Kama Madam Rita, Lakini Joyce Mhavile Kama Kuna kilichomweka Karibu Na Mengi Ni Uwezo wake wa Kusimamia Kampuni za Media ITV. She was and is a very Strong Woman.
 
Sorry niah and take it easy. Ndio maana nimesema labda sababu Monica nilimjua kabda hajawa na mtoto na tulipotezana hadi niliposikia habari ya kifo chake
OK Nilikuwa naye miaka kumi Dodoma na tulifanya shirika moja mpaka alipoanzisha NGO yake. She was a fighter and very independent woman. She was taken early but did a lot in her short life. Tusipeleke watu kwenye nje ya mada.
 
Back
Top Bottom