Joyce Banda alonga Al-jazeera

Wanawake bwana! Christina nae haishi kubwatukiana na Cameron kuhusu visiwa vya Falkland. Ama kweli Joy msumbufu

kama josephine alivyo geuka kirus ndani ya chadema
 
Tunasubiri nini kuzichapa, naona huyyu analeta ngonjera za barazani kwenye kusukana.
 
watu wakizeeka akili zao huzeeka.
kwa akili ya kawaida huwezi kuclaim ziwa lote ni lako wakati liko zaidi ya nchi 2
Mungu hakuwa mjinga alipoliweka ziwa hilo kati ya watu wa makabila tofauti.
ziwa ni letu sote na kila nchi inastahili umiliki wake kwa kiwango fulani
akileta za kuleta na kanchi kake kalivo kadogo tutakasambaratisha hata panya hawatabakia
Tumlitoa Idd Amini na jeshi lake kubwa sembuse huyu mama kikongwe?????
 
Kwa tunakoelekea tutamtuma bwna lwakatare amtie kashkashi...
 

hivi uchaguzi wa malawi ni lini? nafikiri hii ni mkakati wa mama huyu kupata uungwaji na Wamalawi, vinginevy najuwa kuwa anajuwa hana kesi hapa.
 
Hivi kwanini vijana wa bavicha hamna kabisa uzalendo?

Mnaleta ubishi wa kisiasa mpaka kwenye kulinda mipaka ya nchi!!!

Ufisadi wa chama cha magamba umewafanya wadanganyika wasiwe na uzalendo, na nakuhahakikishia kuwa huyu mama Banda ni very strategic kwani amegundua kuwa morale ya wadanaganyika iko chini kiasi kwamba hawana imani na baba mwanaAsha na serikali yake hivyo wakijaribu kuanzisha vita wajue kuwa huyo mama atawaadabisha na watajuta kuzaliwa kwani Vasco hana support kama aliyokuwa nayo Mwalimu wakati wa vita ya Kagera!! Itakuwa vita ya wakwereeeeeee.........peke yao!!
 
Wamalawi wana hati ya makabidhiano ya ziwa sisi bongolala tumelala hatuna hata document
Labda kama uliwakabidhi wewe, ila kwa vyovyote vile nusu ya ziwa ni letu, Malawi naiheshimu ila wakileta masihara mimi pamoja na watanzania wenzangu tutaishinikiza Serikali kuingia vitani, ukipenda jiunge upande wao ili tuwaue vizuri:A S shade:
 
Wamalawi wana hati ya makabidhiano ya ziwa sisi bongolala tumelala hatuna hata document
BONGOLALA yaani waMalawi wamekabidhiwa na nani?
Hao waliomkabidhi hilo Ziwa na ardhi ya Afrika ni Mababu zetu au ni wageni walikuja km CarlPeters na kumdanganya mangungu Dunia yote ni mali yao (Wazungu) Hapa hakuna cha mtu kutuingilia tutapigana hadi tone la mwisho, Hata mm km reserve nitaenda mradi Na yangu ya MT ninayo
 
Ndo tatizo la kuwa na nyumba ndogo nyingi hata matamko kwa mburula kama hawa hayawezi kuwa mazito....why in this era not in Ben's regime?
Serikali legelege huyumbishwa hata na watu legelege.....
 
serikali dhaifu ya CCM,INATUMIA RASIMALI NYINGI KUPAMBANA NA CHADEMA,ila mambo very pontential kama HAYA haiyaoni,shame on you GAMBAZ(CCM)
 
Nani aliyekuwa mmiliki wa awali aliyewakabidhi hizo docs za umiliki?? Piga huo kitu hicho hakiwezekani. Mipaka huwa anaijua anayeishi hapo sio mtu kutoka ulaya!!
Wamalawi wana hati ya makabidhiano ya ziwa sisi bongolala tumelala hatuna hata document
 

Nine ngwitika nnkamu,..linga atwele amatingo tukunkoma fijo kangi,...ndemafu fijo hujo ndindwana
 
Nani aliyekuwa mmiliki wa awali aliyewakabidhi hizo docs za umiliki?? Piga huo kitu hicho hakiwezekani. Mipaka huwa anaijua anayeishi hapo sio mtu kutoka ulaya!!

Good,.....
 
Nine ngwitika nnkamu,..linga atwele amatingo tukunkoma fijo kangi,...ndemafu fijo hujo ndindwana

ikwiturunga itolo,keta tukulya Imbasa na misi tukubombela, linga naloli lyake, akanisye syosya isi sikubombigwa mmisi agha ikuti ghosa ghake.
 
Mkuu acha kuropoka mambo usiyoyajua, jifunze kwanza ndio uandike.
*Mpaka sasa sijaona Fact yoyote tulionayo watanzania kuhusu umiliki wa ziwa Nyasa.
Sio Membe wala Mkwele walioweza kuleta hadharani Facts za msingi.

*Kifupi ni kwamba Legal documents zote muhimu Malawi wanazo toka miaka ya 1960s na zinawaFavour sana wao, wakati sisi Tanzania tunaporojo tupu.

*Katika hili Watanzania tuanze kuhesabu maumivu makali mapema, tungoje tu kunyolewa kavu kavu na Malawi kupitia Mahakama ya Kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…