Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

kuna jamaa yuko huko Goba anasema yaani kule ilikuwaga kama njombe miaka ya nyuma ila kwa sasahivi juzikati mambo yamekuwa mabaya yaani hata feni haisaidii kitu tena , kimsingi athari za mabadiliko ya tabia nchi ni kubwa sana.
 
Kiongozi hizi AC za Inveter zinapunguza kasi ya ulaji wa umeme au ni stori tu ,maana kuna jamaa naona kaleta uzi yake ina inveter na mie haina inveter ulaji wake sawa tu naona ,? Ebu nipe ufafanuzi hapa
Wanasema ac za size sawa katika mazingira sawa, yenye inventer inakula umeme mdogo kuliko isiyokuwa nayo.

Jamaa hapa kafanya experiment

View: https://youtu.be/e4dnXk5tr5c?si=R3rBi0lrfIcvXhn0
 
Uko sahihi mkuu japo LG wanadai ac zao zina inventer mbili so inapunguza kwa 70%.
IMG_20240104_194047.jpg
 
Nadhani wanaoishi maeneo nje kidogo ya mji yaliyoinuka kama kimara, bonyokwa, gobq, salasala, mbezi, kifuru, kibamba mpaka kiluvya watakuwa na unafuu kidogo
 
Nadhani wanaoishi maeneo nje kidogo ya mji yaliyoinuka kama kimara, bonyokwa, gobq, salasala, mbezi, kifuru, kibamba mpaka kiluvya watakuwa na unafuu kidogo
Tatizo .msongamano sa nyumba
 
Air cooler tu hiyo, kuna zile wanaweka maji then ina blow cold air.
Sasa chief, kwa kuwa joto la dar kinachosababisha watu wahisi joto ata sio jotoridi bali ni unyevu.

Hatuoni kwamba kwa kuweka maji tutaongeza humidity kimsingi ambayo ndio tatizo hata mwanzo!??

Yaani suluhisho hapo ni AC tu maana yenyewe nnaonaga maji kama inayatoa nje vinadondoka vitone kwa nje kwenye compressor, sijui ni sahihi ama ni mchakato tofauti
 
ukiweka maji ya kawaida haina tofauti na feni
maji yawe ya baridi, na kila mda uwe unabadilisha maji kila yakipoa, hapa ndiyo uta enjoy
Maji yakichemka* hahahahahaaaaaaaah😂

Waswahili hatuna kabisa maneno ya maji na jotoridi sijui kwa sababu hatujaishi kwenye theluji.

Utasikia nimeshika bonge la barafu 'limeniunguza' 🤫
 
Maji yakichemka* hahahahahaaaaaaaah😂

Waswahili hatuna kabisa maneno ya maji na jotoridi sijui kwa sababu hatujaishi kwenye theluji.

Utasikia nimeshika bonge la barafu 'limeniunguza' 🤫
Unaelewaje maana ya cold burn?
 
Nilikuwa dessert la Uarabuni miaka ya nyuma
Kitu nilichoshaa pamoja na joto la nyuzi zaidi ya 50
Ila unakuta watu wanaishi kwenye mahema na nguo zao zimeshonwa kwa manyoa ya kondoo
Wanavaa kwenye joto hilo
Niliuliza local hapo wakasema kama unavaa nguo nzito kujikonga na baridi na hivyo hivyo unavaa nguo nzito kujikinga na joto strange but true

Na maji nilikuwa sinywi ni mwendo wa chai tu chunguza kwa nini wanakunywa chai kwenye joto pia
Interesting
 
Back
Top Bottom