Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

Miaka ya myuma mwezi huu haukupaswa kuwa na joto

Huu ndio muda wa joto mkuu tropiki ya kaprikoni na maeneo ya karibu sababu ya jua la utosi na maandalizi ya mvua za masika...

Jua sasa hivi linachapa kweli kweli huku likivukisha maji kwenda mawinguni kutengeneza precipitation itayokuja kuwa mvua miezi kadhaa ijayo...(Jiografia sijui standard gani ile )
 
Habari wadau.
Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity. Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana.
Tips muhimu za kuishi maisha ya hali hii ya joto ni pamoja na;
1. kunywa maji na vimiminika kwa wingi
2. Kuepuka kukaa kwenye jua moja kwa moja
3. Kuvaa nguo nyepesi
Hope TMA wataliongelea hili and hope hizotips zimesaidia
View attachment 2858039
Basi kutakuwa na "kimbunga" cha mvua! Tujipange.
 
Kuna ishu ya relative humidity mkuu..Kwa miji ya Pwani kunakuwa na relative humidity kubwa ambayo inazuia mzunguko wa hewa, kwahiyo 35 ya Dar inaweza kuwa sawa na 45 ya Kartoum. Nzega pia huwa wanafikia hii temperature ya 38•C but siyo ishu sana coz kwao wana low RHM.
Nimeishi Nzega miaka 6, sikuwahi kuona temperature ya 38°C labda Kuna Nzega nyingine tofauti na hiyo nayo ijua Mimi, halafu pia joto likiongezeka automatically relative humidity nayo inaongezeka, labda pawepo na fizikia nyingine lakini sio tuliyofundishwa mashuleni.
 
joto la daresalaam bado ni ndogo sana kwa sababu bado unaona movment za watu kwa wingi jifunze joto likowapi pamoja na Humidity nenda saudi arabia nenda yemen nenda oman nenda emirate nenda kuweit na qatar mwezi 6 mpaka 11 ndio utajua joto hili la tanzania wao kwao ndio hali inzuri la mwezi 4 na 5
 
IMG_1477.jpg
 
Ila hili joto linategemea na ww unakaa wapi.. kuna sehemu huku hakuna joto kabisa na ni Dar hii hii..
Sio sehemu hata nyumba yako umeijengaje inachangia joto kuwa kali zaidi. Nyumba iko kwenye kiwanja cha 400sqm halafu madirisha ya futi 4 kwa 4 na ina ukuta solid kozi 12 unategemea huwa itapita wapi?
 
Kwenye fridge mnawekaga Nini,?

Natumia rea unit 30 kwa mwezi pakiwa na mgao au unit 45 hadi 50 Kama umeme umeshinda

Nyumba vinne, Sina AC feni Ni moja na fridge moja
 
Back
Top Bottom