The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,436
- Thread starter
-
- #61
Nipo na mke wako , geto namtoa majashoHako kabinti kameiga ID yangu,kasipojiangalia nakapelekea posa,ole wake kakatae.
Sakafuni kunatelezaSakafuni kuna vimchanga kitumbua kitachafuka
Kwani unataka kusemaje dogoUmasikini mbaya!
Next week nakuja hukoSasa mkuu Kama unalalamika joto la Dar VP Znz ??? Utaishi wewe mbona kama Zanzibar joto Kali kuliko Dar
Hahaha tutajifunga mapande ya barafu mwiliniAfadhali yako umezagamu mkuu joto sio kitu ikiwa ulimwaga wazungu,siku nyingine muwe wabunifu tommmm baneni kwenye friji.
Acha nifaidi bhanaaPoleni sana, acheni hayo mambo, fanyeni mambo mengine...
Kwamba wanazagamuana huku wako na nguo??Vua nguo mkuu
Serikali ya ccm isingekosa chochote kitu kuliangamiza joto hiliMbona matusi, hata wangekwambia kuna joto laja, ungechukua hatua gani kulizuia??
Ili awe anaendanalo gesti?Angedunduliza kinunua AC
Kwani binti hii tabia ya kusagana umeianza lini? Ni baada ya kuachika au toka zamani?Nipo na mke wako , geto namtoa majasho
Amekudanganya Leo anaenda kanisani, yupo kwangu Leo .
Joto adui yk AC mkuu. Kweli tutafute ela au turudi mikoani kwetu kwenye baridi.Ukiwa huna hela joto ni kali mnooooo..... ila ukiwa nazo you won't feel it cuz AC na joto don't get along. Ukitaka kuamini nenda hata hapo nini nini tower au China Plaza uende hata floor ya pili unaweza ukaomba sweater aisee.............
kurudi mwiko.... tukomae tu na hela...tunatumia kaulimbiu ya mtani ''daima mbele, nyuma mwiko''Joto adui yk AC mkuu. Kweli tutafute ela au turudi mikoani kwetu kwenye baridi.
Hakuna namna!kurudi mwiko.... tukomae tu na hela...tunatumia kaulimbiu ya mtani ''daima mbele, nyuma mwiko''
Tafuteni feni...Acha nifaidi bhanaa
Bonjour
Hili joto la dar es salaam, aisee sio poa, jua Kali joto kali
Muda wote una sweat jasho, maji unakunywa kila muda kama chura, Yani hogopaaaa ni hatari
Nipo na shem wenu hapa, tunazagamuana, Aisee tumeloa jasho chapa chapa kama tumepigwa na mvua za bondeni, Yani feni speed ya mwisho lakini wapi, mashuka yameloa mpka kichefu chefu
Tunaiomba serikali ya ccm iweze kupunguza hili jua na joto Kwa hapa dar ,
Tunamshukuru Mh Rais kwa kutuletea joto hili
Feni ipoTafuteni feni...