Joto kali sana mjini

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
1,119
Reaction score
2,430
Bonjour

Hili joto la dar es salaam, aisee sio poa, jua Kali joto kali

Muda wote una sweat jasho, maji unakunywa kila muda kama chura, Yani hogopaaaa ni hatari

Nipo na shem wenu hapa, tunazagamuana, Aisee tumeloa jasho chapa chapa kama tumepigwa na mvua za bondeni, Yani feni speed ya mwisho lakini wapi, mashuka yameloa mpka kichefu chefu

Tunaiomba serikali ya ccm iweze kupunguza hili jua na joto Kwa hapa dar ,
 
Vua nguo mkuu
 
The Icebreaker una undugu na huyu jamaa The ice breaker ?😄
 
Nipo na shem wenu hapa, tunazagamuana, Aisee tumeloa jasho chapa chapa kama tumepigwa na mvua za bondeni, Yani feni speed ya mwisho lakini wapi, mashuka yameloa mpka kichefu chefu
Nauza kitanda na godoro la barafu mkuu bei poa kabisa.
 
Unazagamulia ndani?
Kana kwamba hujui, Dar kuna fukwe nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…