Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Na hivi na nyumba mnabomolewa aiseee Mungu awape wepesi jamani.Kama walivyoonya wataalam, hii huenda ikapika mvua ya hatari itakayoleta maafa. Sasa sijui tunajiandaaje kukabiliana na hiyo hali ki miundombinu na kupunguza athari.
Na hivi na nyumba mnabomolewa aiseee Mungu awape wepesi jamani.
Mkuu Figganigga,Dar es Salaam. Magonjwa ya ngozi, kupungukiwa maji mwilini na maumivu ya kichwa ni kadhia zitakazowakumba baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam kutokana na joto kali linalolikumba jiji hilo.
Tayari Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetangaza kuwa hali ya hewa katika jiji hilo hadi jana lilikuwa limefikia nyuzi joto 35.
Meneja wa Huduma za Utabiri wa TMA, Samwel Mbuya jana alisema joto la mwaka huu limevunja rekodi kwani kwa kawaida, kipindi cha Januari linatakiwa liwe nyuzi joto 32.
Mbuya alisema joto hilo pia limeongezeka hata kwa upande wa Zanzibar ambako limefikia nyuzi joto 35 ikiwa ni ongezeko la asilimia mbili.
Alisema sababu kubwa ni kuongezeka kwa joto katika ukanda wa Bahari ya Hindi ambalo pia linatishia kuwapo kwa mvua za El-nino.
Alisema kadiri mvua zinavyochelewa, ndivyo joto la bahari linavyozidi kuongezeka na kusababisha hali iliyopo.
Madhara ya joto kiafya
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya ndani ya mwili, Meshack Shimwela alisema kwa sasa wanapokea kesi nyingi za magonjwa ya ngozi kama upele, fangasi, kupungua maji mwilini na kuumwa kichwa.
Alisema joto kali linamfanya mtu apoteze wastani wa lita tatu za maji kwa siku. “Kwa watu wasiokunywa maji katika kipindi hiki wanaweza kukaukiwa maji, kwa sababu hawanywi vimiminika vya kutosha kujazia kiwango kile kilichopotea,” alisema.
Chanzo: Mwananchi
nin lita na nusu kunywa kuanzia lita tano per dayNyuzi joto 35?? Duh!
Si ajabu nimejikuta nakunywa maji zaidi ya lita moja na nusu kwa siku!
Hiyo avatar yako ni wewe mwenyewe au baba yako? maana imefanana sana na muuaji mmoja wa Rwanda aliyehusika na mauaji ya kimbari.Pamoja Na Hii TAARIFA Yako Mkuu Ila Huwezi Amini Kuna Baadhi Ya Watu Wazima Tu Kuoga Kwao Mpaka WASHIKIWE BAKORA Lasivyo Akiogoa Leo Ni Mpaka Kesho Kutwa Hiyo.
Poooole mndenyi! inabidi sasa jiachie nor kuvaa skin tight neither brazier kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchiKweli joto limezidi. Daaa chini ya manyonyo kumechubuka, mapajani kumechubuka hali ni hovyo.
Joto limeongezeka kiasi kwamba kwenye daladala duuh nishida!! Watu wanajazana harufu kali dah sijui kama itaongezeka hali itaendelea kuwajeDar es Salaam. Magonjwa ya ngozi, kupungukiwa maji mwilini na maumivu ya kichwa ni kadhia zitakazowakumba baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam kutokana na joto kali linalolikumba jiji hilo.
Tayari Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetangaza kuwa hali ya hewa katika jiji hilo hadi jana lilikuwa limefikia nyuzi joto 35.
Meneja wa Huduma za Utabiri wa TMA, Samwel Mbuya jana alisema joto la mwaka huu limevunja rekodi kwani kwa kawaida, kipindi cha Januari linatakiwa liwe nyuzi joto 32.
Mbuya alisema joto hilo pia limeongezeka hata kwa upande wa Zanzibar ambako limefikia nyuzi joto 35 ikiwa ni ongezeko la asilimia mbili.
Alisema sababu kubwa ni kuongezeka kwa joto katika ukanda wa Bahari ya Hindi ambalo pia linatishia kuwapo kwa mvua za El-nino.
Alisema kadiri mvua zinavyochelewa, ndivyo joto la bahari linavyozidi kuongezeka na kusababisha hali iliyopo.
Madhara ya joto kiafya
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya ndani ya mwili, Meshack Shimwela alisema kwa sasa wanapokea kesi nyingi za magonjwa ya ngozi kama upele, fangasi, kupungua maji mwilini na kuumwa kichwa.
Alisema joto kali linamfanya mtu apoteze wastani wa lita tatu za maji kwa siku. “Kwa watu wasiokunywa maji katika kipindi hiki wanaweza kukaukiwa maji, kwa sababu hawanywi vimiminika vya kutosha kujazia kiwango kile kilichopotea,” alisema.
Chanzo: Mwananchi
Duh!nin lita na nusu kunywa kuanzia lita tano per day
Usiku kwa Dar feni inapuliza upepo wenye joto, ni shida tupu!Joto limeongezeka kiasi kwamba kwenye daladala duuh nishida!! Watu wanajazana harufu kali dah sijui kama itaongezeka hali itaendelea kuwaje
Hiyo avatar yako ni wewe mwenyewe au baba yako? maana imefanana sana na muuaji mmoja wa Rwanda aliyehusika na mauaji ya kimbari.
Kama sikosei mwaka jana watu walikufa kwa joto huko india kwa kina amitah batchan na mwenzie mithun chakaraboth joto ufikia 55 degrees!!Joto hadi 45'C watu wahafi huko sahara
35'C mnaogopa nini
Kwahiyo Mkuu ulikuwa una ushauri gani? Nini cha kufanya? Au wewe unalaumu tuu?Binadamu tulipewa akili ya kutawala mazingira wenzetu wazungu wameweza ila sisi Waafrika bado, tuna njia ndefu mno
na ndio inayopunguza Maji na Chumvi mwiliniHumidity ndio ipo Juu
Nahisi hukuoga kwa hizo siku 3Hahahahaaa lisizidi sana,japo ni bora kwangu kuliko baridi.
Nilienda Iringa siku 3 hadi nikajisahau!