Wimbo mzuri,wimbo mzuri kama huu sidhani kama hata wafu FM wanaweza kuzuia usihit,kitu kizuri lazima ikubalike tu hata kama wenye maslahi watapinga.
Huu wimbo Proffesor kaonyesha anajua,level za Proffesor zipo juu kiasi kwamba naona kamfunika hata Lady Jay dee.
Matumizi mabaya ya nafsi kaka,utasemaje tumechoka??,si useme umechoka wewe,na ukichoka wewe sio lazima wengine pia wachoke,we pita sepa kimya kimya kuliko kuboa watu
Matumizi mabaya ya nafsi kaka,utasemaje tumechoka??,si useme umechoka wewe,na ukichoka wewe sio lazima wengine pia wachoke,we pita sepa kimya kimya kuliko kuboa watu